maji kwenye rejeta halafu kaacha mfuniko wazi!!!! maji yote yakaisha yeye anaendesha tu mpaka gari imezimika!!!
lakini ndiyo kublow engine mkuu, maana hizi gari za sasa hivi ikioverheat inazimika tu na hauiepeleki popote mpaka ipoe, ina maana kwa yeye ingezima akaanza kumpigia hani wake kuja kucheki tatizo. na yeye alikuwa anaongeza maji kwenye gari mpya ili iweje? na nani alimfundisha kuwa wanaongeza maji kwenye gari na akamwonesha pa kutia, labda kama hiyo gari ilikuwa ya mwaka 47!
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua unamiliki gari...
2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...
3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?
Mmhhh naomba nisaidie kujibu, kwanza mbona mfukunyunyu hivo? Wewe ni mgeni yerusalemu? Kwa ufupi kibongobongo gari mpya ni used from Japan. Huwa nyingine zinakuwa in good condtition, used as new ila nyingine zinakuwa na hitilafu kama kwenye rejeta, tairi, shokapu and the like. Gari mpya kabisa kibongobongo wachache wenye uwezo nazo.
Kashfa ya reja reja
lakini ndiyo kublow engine mkuu, maana hizi gari za sasa hivi ikioverheat inazimika tu na hauiepeleki popote mpaka ipoe, ina maana kwa yeye ingezima akaanza kumpigia hani wake kuja kucheki tatizo. na yeye alikuwa anaongeza maji kwenye gari mpya ili iweje? na nani alimfundisha kuwa wanaongeza maji kwenye gari na akamwonesha pa kutia, labda kama hiyo gari ilikuwa ya mwaka 47!
Napata picha unabadilisha tairi,nahisi utakuwa na misuli misuli kama Vanessa Williams
ni venus sio vannessa
ahahahaha, na we unamuuwa mwenzako imebidi nicheke tu!
huenda alikuwa anamaanisha Vanessa Williams yule mwanamuziki mwenye sauti ya kumtoa nyuki kwenye asali!
Wanawake wanaoendesha gari Arusha wanawakati mgumu jamani..
Kwa hapa inakuwa issue ya mwanamke kushindwa huo siyo ubaguzi na unyanyasaji.kwanza kuvaa nusu kuwa na kucha bandit yahusu nini? Hivi kama una fedha kwa nini ulale ChinI ya gari na kuangaika kubadilishana tairi yenye pancha? Wakati vijana wenye kazi hiyo wamenjaa barabarani kila mahali, kazi ya fedha ni nini kama zipo?kina mama tunafanya kazi kwa bidii sana tusijidhalilishe kuchafuka kujipamba chini ya magari au kubadili matairi hiyo siyo maana ya 50/50
Kabisa. Kama bado upo upo nianze process mapemaaaaaaaaaaa! I have 'almost' everything needed.hahahahahahaaaa really!!
Kabisa. Kama bado upo upo nianze process mapemaaaaaaaaaaa! I have 'almost' everything needed.
Asantee hongera nawe
Weeeee.....!
Napata picha unabadilisha tairi,nahisi utakuwa na misuli misuli kama Vanessa Williams