Wanawake na magari

Wanawake na magari

Jitahidini wenzenu wanajitahidi mpaka wanananunuliwa hahaha (jus joking)

Hahahahaha...mdogo mdogo tutafika....wananunuliwa kwa kutoa tigo..sio wote lakin wengine papuchi zao za dhahabu...lolest
 
I like sweet things for sure, but am not sure if am that sweet looh, you got a glass of ur choice, enjoy!!

Penda vitu sweet sweet wewe eenh kama wewe ulivyo msweetiii eenh...

napenda isiyo na ice darling...
 
Umenikumbusha sister angu mmoja alisha wahi kunokisha engine ya gari hata haina week... kisa kajifanya siku hiyo kufungua boneti kaweka maji kasahau kufungu mfuniko... kakanyaga mafuta na safar zake mpaka gari likazimika

alikuwa anaweka maji kwenye nini? una uhakika gari haikuwa na wiki mkuu?
 
Ukipenda gari kubali na adha zake, Kule hamas akina mama walikuwa wanadai haki sawa lakini vita ilipolipuka ndipo walipojigundua kuwa wao ni wanawake na wale ni wanaume, maana wao alikuwa wanalia wakati wanaume walikuwa wanapiga miluzi na kuvurumisha mawe.
 
1. tie rod end/ball joint etc ikikatika sio mwanamke tu hata mwanaume huna ujanja,utapaki pembeni utaita wenye kazi yao....fundi labda wewe mwenyewe uwe fundi magari.

2.pancha inahitaji uzoefu,kuna wanaume wanapata pancha nao hawajui mpaka unamshtua kwahio unahitaji kauzoefu fulani kuhisi mabadiliko kwenye gari yako na si kila mtu ana uwezo huo.

kuna wanaume wengi tu hawawezi kubadili tairi,wakipata pancha utawaonea huruma wanavyohangaika wakikosa mtu wa kuwatolea....

well said
 
Shikamoo lara 1 ...

Aiseeeh kumbee iko janja ya nyani kula hindi bichi, hahahahaa hayaa watu8 muda wa kunywa chai unakaribia kuisha, amka upate stafutahi, angalia tuu usiende kunywa chai na pajama pls
 
Last edited by a moderator:
alikuwa anaweka maji kwenye nini? una uhakika gari haikuwa na wiki mkuu?

maji kwenye rejeta halafu kaacha mfuniko wazi!!!! maji yote yakaisha yeye anaendesha tu mpaka gari imezimika!!!
 
hahahahaa hayaa watu8 muda wa kunywa chai unakaribia kuisha, amka upate stafutahi, angalia tuu usiende kunywa chai na pajama pls

Hahaha asante kwa kuniamsha...natumai nawe mishe za siku mpya hii zishaanza
 
Back
Top Bottom