Wanawake na magari

Halahala tuu usihujumu uchumi looh

kwa nini mrembo km yule apate shida ya wese, wakati nikimpa kadi ya ofisi ataenda kinga total gas station yoyote...

hii keki ya taifa acha sote tuitafune bana, uchoyo dhambi ujue...

Hahahaa Tized vua miwani huyu sukari ya warembo mie chumvi tukijog pamoja tunatengeneza ORS au si Doctor looh

bora umwambie atiii...

cant wait kwa hiyo monday, ikuje haraka tu...
 
Thanks for correcting the msamiati wa kifaa cha gari. Niko bongo long ago best hata sasa nshaanza kuzichanga kwa ajili ya kuzitumbua mwakani likizo. Kule US maeneo niliyoenda sikuona barabara za vumbi probably zipo ila tuu sijaziona sijui mwaya nilikopita mimi lami tupu

Hapo Kwenye Red inaitwa Tie rod end. Anyway ulisharudi kutoka US??? au na huko kuna vumbi kama hapo kwenye blue?? Usinitupie mawe Kasinde
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa mbaya wewe usinipoteze tuu mnyamwezi mie

Kweli kabisa maam, lakini kinyume chake ni pale mwanaume anapoingia jikoni kupika,kina dada wanakuchungulia kiudadisi kama unaweza kweli kupika chakula,ukikosea kidogo tu wanakucheka na kuusaidia upishi, Kifupi ngoma ni drooo.

Ndiyo hivyo yani
 
Uko strategic nimekukubali halafu kama unabonyea kwenye mashavu ukiwa unatabasamu huku unamuangalia kwa upande jicho linavutika kama macho ya panzi na sauti sasa trfik mwenyewe anakuachia. Sheedah ukikamatwa na trfik wa kike weeh fine inakuhusu looh

Hahahahaaa mbaya wewe usinipoteze tuu mnyamwezi mie

why would i do that...?

such a decent girl, old friend of mine siwezi kukupoteza bana sema wewe tu umejawa uwoga...

again waitin for ya call, ukinitosa this tym sikutafuti tena ng'ooo:angry:
 
Karibu sana watu8, kitu kizuri lazima ule na ndugu yako bwana!!!.... You've my blessings!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor amehamia Mikocheni siku hizi... Ni jirani ila si kiivyo. Ntakuona tu akikupitisha na kale ka BM kake!!!
Mmmmhh Mentor nina ugomvi na wewe, ndo umesababisha yote haya. Nakuja kigamboni, usitoke!! Hili umelianzisha inabidi ulimalize. Dr. Tized alikuwa ametulia wewe ukamfokonyoa aliko ona sasa........
 
Last edited by a moderator:

Kwani mtu kama amepatwa na tatzo asimueleze husband/bwana ake ??? Don't judge people if u don't know them much less umewaona tu barabarani u kno nuthn about them. Huna lolote donge tu.
 
Mie ni muoga kweli tena muoga fisi, I wont call ubana si unajua simu ntapita pale kwa muuza matunda nikiwa natembea nikifika Ohio naanza kukimbia thats Kasie. I know u r agood old friend. But dont welcome Mentor, ameshaniharibia hapa nina bifu nae...
Halafu ujue good friends wanatafutana hata wakipotezana hawanuniani wakijakutana tena urafiki unaendelea

why would i do that...?

such a decent girl, old friend of mine siwezi kukupoteza bana sema wewe tu umejawa uwoga...

again waitin for ya call, ukinitosa this tym sikutafuti tena ng'ooo:angry:
 
Last edited by a moderator:
Eehhh kama yuko mikomiko hana issue nshampotezea japo kaniudhi. Namie ntamtafuta anga zake nimharibie tuu hapa najua anasoma ananicheka tuu ila Mentor stay tuned!!
Mentor amehamia Mikocheni siku hizi... Ni jirani ila si kiivyo. Ntakuona tu akikupitisha na kale ka BM kake!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor unahusika hapa endelea kujificha hukohuko. Umefurahii dokta kabwaga manyanga eehh!! Anyways let me proceed jogging

Karibu sana watu8, kitu kizuri lazima ule na ndugu yako bwana!!!.... You've my blessings!!!
 
Last edited by a moderator:
Uko strategic nimekukubali halafu kama unabonyea kwenye mashavu ukiwa unatabasamu huku unamuangalia kwa upande jicho linavutika kama macho ya panzi na sauti sasa trfik mwenyewe anakuachia. Sheedah ukikamatwa na trfik wa kike weeh fine inakuhusu looh

Trafiki wa kike unatabasamu alafu unajifanya kama ulimwona mahali alafu unamuuluza nimekosa nini tena huku ubaongea kama kishambenga anatulia tu unamwavgia buku tano basi ila wakiwa zaidi ya mmoja.fain inahusika
 
Dah...yani tuna tabu sisi --all u could see ni kigari chake kidogo ..hivi tukisema gari lake tutakuwa tumekosa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…