Wanawake na magari

Wanawake na magari

hahhahhaha don't make me laugh.halafu kama wewe inaonekana unashobokea sana wadada wenye magari.natania

ah tena mbona wala hujakosea...wao sii wanataka mwanaume mwenye gari basi na mie nataka yeye awe na gari ili nikute papuchi swafiiii kabisa bila majasho.
 
Mi napenda mwanaume mwenye make..nd.e yake mawili na dushelele inayosimama kila ninapotaka na pale nisipotaka hata kama yeye atataka basi ilale, isinyae na ilegee kama mlenda. Hapo hata kama tutatembea wote matembezi ya mshikamano from town to morocco akuuu mradi anipe dushe tuu hadi nitembee migulu baja.
Vingine vikolombwezo tuu

ahaha au sio mwanaume usifiwa kazi yake ya kitandani....wee kweli mwanamke halisi
 
Umenifurahisha. Wanaume wana wivu sana wakiona mdada kawapita. Hata ukipata kazi nzuri wanaona huna lolote utakuwa ulihongwa tu. Ukiwa na gari nzuri napo hivyo hivyo. Dawa kuwapa jibu wanalotaka. Mie ukiniambia saa yako nzuri, najibu 'nimehongwa' manake najua discussion itaishia hapo!

Tena wivu kama wa sh... we si unaona huyo aliyeuliza umehongwa?hivi kuna mwanaume anayeonga gari tz ya leo?me nachujua wadada wanapewa tu ya kutembeleaa bila card.Hapo kwenye saa hahhah ngoja nisiseme zaidi
 
Why do women like men in Cars? Answer is simple: Cars make life easy!
And by the way, I also like women in Cars for the same reason. Cars make life easy!
Now I don't know about this car down here, but cars are a nice thing to have. Don't blame the women
for using cars to measure your status. Au nimekosea?...
View attachment 102280
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?
 
Kwani hampendi motokari?????

Ila it is a two way traffic wanawake wanapenda magari na wanaume pia tunayapenda..."cars are men's toys" no wonder cash overflow inaelekezwa huko!!!!!!

To which extent sex moja inapenda zaid ndo swali...yawezekana pia wanaume tunayapenda zaid no wonder wengi tunayamiliki tena wengine wetu yanatuelemea ila tumooooo tuuuuu bora tuonekane tunavuta mikoko...miomgoni mwetu pia tunaona prestige ndo maana we change them oftenly

kuna miamba hapo town ina collections za Mercedes na mwingine Range Rovers almost models zote..while other businesses are growing as well..watoto wanasoma na mama zao wana hair dressing rooms at home

So magari ni hobby kwa asie nalo ataendelea kutamani " sijui ndo shobo" kwani wangapi hamjui kuogelea na magari mnayo na mkienda beach mkiona mafundi wa maji mnatamani hata kuwasalimia tuuuuu( regadless of gender)!!!!!!!!

Kumbe wote tunayapenda! Mi nilichoshwa na hizi mada zisizoisha za wanawake na kupenda magari.
Hapo kwenye blue mi wala simo,aogelee maji yalotulia mpaka ya Nungwi mie walaaa naweza hata nisi note.
 
Umenifurahisha. Wanaume wana wivu sana wakiona mdada kawapita. Hata ukipata kazi nzuri wanaona huna lolote utakuwa ulihongwa tu. Ukiwa na gari nzuri napo hivyo hivyo. Dawa kuwapa jibu wanalotaka. Mie ukiniambia saa yako nzuri, najibu 'nimehongwa' manake najua discussion itaishia hapo!

Tena mingine inakwenda mbali zaidi.... Ikiona umependeza inzaaje... "Huyo shemeji usimuache" Kwani hatuwezi pendeza bila kupendezeshwa.....

Asante kwa kunipa jibu... kuanzia leo nitakuwa nawapa hilo jibu hapo kwenye red!!!
 
ahaha au sio mwanaume usifiwa kazi yake ya kitandani....wee kweli mwanamke halisi

mwanaume kitandani bana sio mtu kutwa kubadili magear ukifika kwenye uwanja wa seremala anatoa hewa tuu kama alikula kunde na maharage kumbeeeee............... ndo maana watu wengine wanashangaa huyu mdada kampendea nini yule muuza maji au muuza genge kumbe shuhuli yake kitandani balaa
 
Kumbe wote tunayapenda! Mi nilichoshwa na hizi mada zisizoisha za wanawake na kupenda magari.
Hapo kwenye blue mi wala simo,aogelee maji yalotulia mpaka ya Nungwi mie walaaa naweza hata nisi note.

Unaweza usimpende muogeleaji ukampenda mnoa visu...kisa akiwa ananoa huwa anaimba vizuri na mwangu huwa anafurahi!!!

BTW..when it comes to hobbies kila mtu ana admiration zake.,je hii ndo shobo yenyewe??????
 
ile kuona gari tu udenda umemtoka,

7750498.jpg
 
uthijalii.
Kuna wale mambwiga wanauliza hiki umenunua sh ngapi? Weeh jibu tu sijuiiiii, nimehongwaaa. hata kukutongoza wanaogopa manake umehongwa gari, saa, simu hadi hereni! :love: QUOTE=charminglady;6824515]Tena mingine inakwenda mbali zaidi.... Ikiona umependeza inzaaje... "Huyo shemeji usimuache" Kwani hatuwezi pendeza bila kupendezeshwa.....

Asante kwa kunipa jibu... kuanzia leo nitakuwa nawapa hilo jibu hapo kwenye red!!![/QUOTE]
 
uthijalii.
Kuna wale mambwiga wanauliza hiki umenunua sh ngapi? Weeh jibu tu sijuiiiii, nimehongwaaa. hata kukutongoza wanaogopa manake umehongwa gari, saa, simu hadi hereni! :love:

Tena mingine inakwenda mbali zaidi.... Ikiona umependeza inzaaje... "Huyo shemeji usimuache" Kwani hatuwezi pendeza bila kupendezeshwa.....

Asante kwa kunipa jibu... kuanzia leo nitakuwa nawapa hilo jibu hapo kwenye red!!!
 
Tena mingine inakwenda mbali zaidi.... Ikiona umependeza inzaaje... "Huyo shemeji usimuache" Kwani hatuwezi pendeza bila kupendezeshwa.....

Asante kwa kunipa jibu... kuanzia leo nitakuwa nawapa hilo jibu hapo kwenye red!!!

hahaha charmingalady ukinipa miye jibu la ivo tu, u know what will follow....:A S-fire1:
 
Last edited by a moderator:
Mi napenda mwanaume mwenye make..nd.e yake mawili na dushelele inayosimama kila ninapotaka na pale nisipotaka hata kama yeye atataka basi ilale, isinyae na ilegee kama mlenda. Hapo hata kama tutatembea wote matembezi ya mshikamano from town to morocco akuuu mradi anipe dushe tuu hadi nitembee migulu baja.
Vingine vikolombwezo tuu

Heheheee. Umenikumbusha kuna mdada mmoja alikuwa ananiambia sie wanaume ni ovyo sana.

Akadai kuwa kama angebahatika kuzaliwa mwanaume, yaani angetembea na wanawake wengi as much as "he" could.

Akadai anatushangaa sana sie wanaume kuna wasichana wazuri sana duniani lakini wakikatiza huwa tunawageukia na kuwaangalia tuu badala ya kuwatongoza na kuwafanyia kweli.

Akasema angekuwa "he" nyie akina @skapal mngemkoma.
 
mwanaume kitandani bana sio mtu kutwa kubadili magear ukifika kwenye uwanja wa seremala anatoa hewa tuu kama alikula kunde na maharage kumbeeeee............... ndo maana watu wengine wanashangaa huyu mdada kampendea nini yule muuza maji au muuza genge kumbe shuhuli yake kitandani balaa

Despite that psychologists have proved what car-dealers have boasted for generations the car one drives is key when it comes to turning a woman's head. The university team showed women pictures of the same man sitting in two cars - a £70,000 silver Bentley Continental and a battered Ford Fiesta.

The women, who were aged between 21 to 40, picked the man sitting in the Bentley ahead of the same man in the Ford. Dr Michael Dunn, of the University of Wales Institute in Cardiff, said it shows women rate a man higher if he is behind the wheels of a "fancy motor rather than in an old banger".

His research, in the latest edition of the British Journal of Psychology, also shows that men are more interested in a women's looks not her motor. The researchers say the men tested in the same way are not impressed by whatever car a woman drives because they judge purely on her face and figure.

Dr Dunn said his findings confirmed that women judge a man by his wealth and status whereas men are primarily concerned with what a woman looks like. He said he was spurred by his own interest in evolutionary psychology along with the increasing number of women buying so-called "high end" motors.

He said: "There's a wide variety of evidence that does suggest that females are more influenced by wealth and status.
"It's not a recent phenomenon. It is very ingrained and the evidence is not just anecdotal. "Females focus on questions of wealth and status because if the male possesses those, that male would be in a better condition to rear healthy offspring."

Dr Dunn believes this basic human trait will not change in the future - even as women become more independent and wealthy in their own rights. He said: "It appears that the stereotype of women being positively influenced by a man's status is true and, evolutionarily speaking, this makes sense. "However, even with the growing number of women in high-paid careers and the fact that they can be highly successful has no effect on how attractive they are to men. What you find is that these new, wealthy women still show a preferment for high-status males."

Now his researchers plan to carry out further studies - to guide men buying expensive cars in their mid-life crisis. Dr Dunn, who admits to driving an old Ford Ka, will examine if high-status items like expensive cars can help make up for "the attractiveness-diminishing effects of age."

In other words, do middle-aged men in expensive cars seem more attractive to women despite their grey hair and expanding waistline. Dr Dunn admitted that his research could also be interpreted as evidence that women are shallower than men. He said: "Let's face it - there's evidence to support it."

Women more attracted to men in expensive cars - Telegraph
 
Heheheee. Umenikumbusha kuna mdada mmoja alikuwa ananiambia sie wanaume ni ovyo sana.

Akadai kuwa kama angebahatika kuzawaliwa mwanaume, yaani angetembea na wanawake wengi as much as "he" could.

Akadai anatushangaa sana sie wanaume kuna wasichana wazuri sana duniani na wakikatiza huwa tunawageukia na kuwaangalia tuu badala ya kuwatongoza na kuwafanyia kweli.

Akasema angekuwa "he" nyie akina @skapal mngemkoma.

raha ya mwanamke kufanywa na si kutendwa na raha ya mwanaume ajue kufanya sio kutoa majasho tuu hata kama huna hela mwanaume anapata heshima kwa mwanamke ajijua na kuweza kumfanya hadi ashindwe kutembea
 
Despite that psychologists have proved what car-dealers have boasted for generations the car one drives is key when it comes to turning a woman's head. The university team showed women pictures of the same man sitting in two cars - a £70,000 silver Bentley Continental and a battered Ford Fiesta.

The women, who were aged between 21 to 40, picked the man sitting in the Bentley ahead of the same man in the Ford. Dr Michael Dunn, of the University of Wales Institute in Cardiff, said it shows women rate a man higher if he is behind the wheels of a "fancy motor rather than in an old banger".

His research, in the latest edition of the British Journal of Psychology, also shows that men are more interested in a women's looks not her motor. The researchers say the men tested in the same way are not impressed by whatever car a woman drives because they judge purely on her face and figure.

Dr Dunn said his findings confirmed that women judge a man by his wealth and status whereas men are primarily concerned with what a woman looks like. He said he was spurred by his own interest in evolutionary psychology along with the increasing number of women buying so-called "high end" motors.

He said: "There's a wide variety of evidence that does suggest that females are more influenced by wealth and status.
"It's not a recent phenomenon. It is very ingrained and the evidence is not just anecdotal. "Females focus on questions of wealth and status because if the male possesses those, that male would be in a better condition to rear healthy offspring."

Dr Dunn believes this basic human trait will not change in the future - even as women become more independent and wealthy in their own rights. He said: "It appears that the stereotype of women being positively influenced by a man's status is true and, evolutionarily speaking, this makes sense. "However, even with the growing number of women in high-paid careers and the fact that they can be highly successful has no effect on how attractive they are to men. What you find is that these new, wealthy women still show a preferment for high-status males."

Now his researchers plan to carry out further studies - to guide men buying expensive cars in their mid-life crisis. Dr Dunn, who admits to driving an old Ford Ka, will examine if high-status items like expensive cars can help make up for "the attractiveness-diminishing effects of age."

In other words, do middle-aged men in expensive cars seem more attractive to women despite their grey hair and expanding waistline. Dr Dunn admitted that his research could also be interpreted as evidence that women are shallower than men. He said: "Let's face it - there's evidence to support it."

Women more attracted to men in expensive cars - Telegraph

nilijua tuu utakuja na kitu kama hiki, nilishangaa sana ujibu thread bila mangwini, heshima yako baba.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
raha ya mwanamke kufanywa na si kutendwa na raha ya mwanaume ajue kufanya sio kutoa majasho tuu hata kama huna hela mwanaume anapata heshima kwa mwanamke ajijua na kuweza kumfanya hadi ashindwe kutembea

Kwa stahili hiyo wauza wheelchairs wangetengeneza pesa sana.
 
hahahaaaaa simaanishi wavunje miguu au wakate mitama hapana, wajua kutembea migulu baja au kutembea kama simama dede, ndo ninayomaanisha yaani unatembea ila kama kiuno hakina ushirikiano na miguu kutokana na utamu wa dushe.
Niliishuhudia harusi za zamani wakati kuna inna party bibi harusi siku ya inna party alikuwa anatembea polepole migulu baja kuonesha jana yake jumamosi alipewa kitu cha kweli. sku hizi hamna inna party.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nilijua tuu utakuja na kitu kama hiki, nilishangaa sana ujibu thread bila mangwini, heshima yako baba.

Mie siyo mwanasayansi vinginevyo usingenikuta bado narandaranda na nyie in this crazy, overcrowded world wakati kuna sayari nyingine ziko empty.

Or perhaps I would have made my own car exclusive for me to attract women.
 
Back
Top Bottom