Wanawake na magari

Wanawake na magari

Mi napenda mwanaume mwenye make..nd.e yake mawili na dushelele inayosimama kila ninapotaka na pale nisipotaka hata kama yeye atataka basi ilale, isinyae na ilegee kama mlenda. Hapo hata kama tutatembea wote matembezi ya mshikamano from town to morocco akuuu mradi anipe dushe tuu hadi nitembee migulu baja.
Vingine vikolombwezo tuu
 
Hivi gari kitu gani bana.... mbona mnatokwa povu???? Siku hizi magari mbona kawaida tu.... Au mnadhani wanawake wote wenye magari wamenunuliwa poor you!!!!!

Kwani imeandikwa wapi wanaume pekeyao ndio wanapaswa kumiliki magari????

Khaaaa.... mtuwache tupumuweee miaka 900 .... Sosi cacico

Mwenzangu hivi dunia ya digital mtu anasakama mwanamke na gari?gari kitu gani bwana kwanza kununua gari si issue issue ni kulifanya litembee barabarani from january to dec. tuwapotezee mumy
 
Tuache utani kwa uzoefu nilionao,gari ni ulimbo hatari sana kwa Dada zetu katika hii Dunia ya tatu.Nimeshuhudia madereva wanapukutika sana kwa UKIMWI.
 
Yaaani mwanamme ukiwa na gari mademu wanajileta wenyewe kama vile mbwa kamuona chatu.
Mi mwenyewe nilifundishwa hivyo chuoni VETA majani mapana Tanga nilipokuwa nasomea udereva mwaka 1998 ambapo mkufunzi wetu mr Paschal Demello siku za jumamosi tulipokuwa tunasoma theories alituambia kwamba ukiwa unaendesha gari utapendwa sana na kina dada,kwa hiyo alituusia tuwe makini.
Hata sasa ofisini kwetu madereva wa ofisi yetu wanatesa kwa kuwa na mademu wakali sana kulipo sisi maofisa. ukiwauliza wanawapataje wanakuambia kutokana na STK. chezea gari wewe!!
 
Umeona eeh! Hatusikii kingine ni wanawake ....magari,waulize basi magari yenyewe wanayotunyanyasia asie na VITZ ana Starlet!!!
Hebu watuache tupumue!
 
Kuna mshkaj wangu chuo ana kivirtz,anakulaje viuno vya wadada!
 
...na hasa kama mwanamke anaishi Mbagala, Gongo la mboto, Tegeta, Tabata, Mbezi ya kimara na awe mtu wa mitoko ndio kabisaaa.
usifanye mchezo na kero ya daladala na hasa mvua inaponyesha.
 
Mie mgeni hapa mjini kwa hiyo sijui kama ni kweli kwamba wanawake wanshobokea magari...
 
haya magari ya ukubwani yanawasumbua......kila siku gari hivi gari vile magari yenyewe mitumba ya miaka 10 iliyopita ........mkiyazoea mtaona kawaida tu.....halafu msisahau kuna magari na usafiri na wengi wenye kelele wana usafiri tu.......SAMAHANI LAKINI.
 
Gari lina rahisisha usafiri, inawapa more privacy yaani huku jamaa anadrive na wewe unampa dose ndogo ndogo, unakuwa smart zaidi maana mchuchumio hauingii vumbi, inakupa heshma kwa mashostito kuwa wewe ni matawi ya juu...lol
 
Yaaani mwanamme ukiwa na gari mademu wanajileta wenyewe kama vile mbwa kamuona chatu.
Mi mwenyewe nilifundishwa hivyo chuoni VETA majani mapana Tanga nilipokuwa nasomea udereva mwaka 1998 ambapo mkufunzi wetu mr Paschal Demello siku za jumamosi tulipokuwa tunasoma theories alituambia kwamba ukiwa unaendesha gari utapendwa sana na kina dada,kwa hiyo alituusia tuwe makini.
Hata sasa ofisini kwetu madereva wa ofisi yetu wanatesa kwa kuwa na mademu wakali sana kulipo sisi maofisa. ukiwauliza wanawapataje wanakuambia kutokana na STK. chezea gari wewe!!

Hao mademu washamba tu vipi unakubali kwa kwa mtu anadrive gari, tena la STK au yale ya biashara ingali unajua fika yeye si mmliki bali ni mwajiriwa..
 
Hata ukiendesha ile morgue van (chezea benzi?) unapendwa tu hehehe. Nini stk, mi nashoboka hata kwa dereva wa ambulance ama bajaj!
Hao mademu washamba tu vipi unakubali kwa kwa mtu anadrive gari, tena la STK au yale ya biashara ingali unajua fika yeye si mmliki bali ni mwajiriwa..
 
Umenifurahisha. Wanaume wana wivu sana wakiona mdada kawapita. Hata ukipata kazi nzuri wanaona huna lolote utakuwa ulihongwa tu. Ukiwa na gari nzuri napo hivyo hivyo. Dawa kuwapa jibu wanalotaka. Mie ukiniambia saa yako nzuri, najibu 'nimehongwa' manake najua discussion itaishia hapo!
miwatu wazima wenye pesa zao walikuwa wanaizungumzia gari yangu kwa hiyo msituchoshe hapa hata nyie mnashoboke magari ya wanawake tena kwa maneno ya wivu
 
Umenifurahisha. Wanaume wana wivu sana wakiona mdada kawapita. Hata ukipata kazi nzuri wanaona huna lolote utakuwa ulihongwa tu. Ukiwa na gari nzuri napo hivyo hivyo. Dawa kuwapa jibu wanalotaka. Mie ukiniambia saa yako nzuri, najibu 'nimehongwa' manake najua discussion itaishia hapo!
True...wengi hawataki kuamini kuwa wadada pia wanaweza kuwa successful, bila kuhongwa!
 
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?

Kweli mkuu huwezi shindana kutongoza demu na dereva wa STK, SU, DFP, STL, STJ, PT, MT
 
Hata ukiendesha ile morgue van (chezea benzi?) unapendwa tu hehehe. Nini stk, mi nashoboka hata kwa dereva wa ambulance ama bajaj!

Mi dreva wa Trekta wakati mwingine mbaula warembo wananishobokea balaa
 
Yaaani mwanamme ukiwa na gari mademu wanajileta wenyewe kama vile mbwa kamuona chatu.
Mi mwenyewe nilifundishwa hivyo chuoni VETA majani mapana Tanga nilipokuwa nasomea udereva mwaka 1998 ambapo mkufunzi wetu mr Paschal Demello siku za jumamosi tulipokuwa tunasoma theories alituambia kwamba ukiwa unaendesha gari utapendwa sana na kina dada,kwa hiyo alituusia tuwe makini.
Hata sasa ofisini kwetu madereva wa ofisi yetu wanatesa kwa kuwa na mademu wakali sana kulipo sisi maofisa. ukiwauliza wanawapataje wanakuambia kutokana na STK. chezea gari wewe!!

naunga mkono hoja dada huwa hatuitaji kero daladala sina boa
 
Umeona eeh! Hatusikii kingine ni wanawake ....magari,waulize basi magari yenyewe wanayotunyanyasia asie na VITZ ana Starlet!!!
Hebu watuache tupumue!

Kwani hampendi motokari?????

Ila it is a two way traffic wanawake wanapenda magari na wanaume pia tunayapenda..."cars are men's toys" no wonder cash overflow inaelekezwa huko!!!!!!

To which extent sex moja inapenda zaid ndo swali...yawezekana pia wanaume tunayapenda zaid no wonder wengi tunayamiliki tena wengine wetu yanatuelemea ila tumooooo tuuuuu bora tuonekane tunavuta mikoko...miomgoni mwetu pia tunaona prestige ndo maana we change them oftenly

kuna miamba hapo town ina collections za Mercedes na mwingine Range Rovers almost models zote..while other businesses are growing as well..watoto wanasoma na mama zao wana hair dressing rooms at home

So magari ni hobby kwa asie nalo ataendelea kutamani " sijui ndo shobo" kwani wangapi hamjui kuogelea na magari mnayo na mkienda beach mkiona mafundi wa maji mnatamani hata kuwasalimia tuuuuu( regadless of gender)!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom