Wakuu habari,
Kuna ongezeko kubwa sana la watu kufunga ngao mbele ya magari yao.
Hususani madereva wa mabasi, daladala na malori. Hatua hii ni ili kulinda magari yao kipindi yapatapo ajali.
Lakini uwekaji wa ngao kwenye magari ulishapigwa marufuku kwasababu unachangia uendeshaji mbaya wa magari kwani dereva anajua hata ajali ikitokea gari lake halitadhurika.
Kuongeza hatari kwa abiria wa gari la pili kipindi inapotokea ajali.
Je traffic hawaoni hili? Ni nini kinachowazuia kusimamia? Kila mtu akiweka ngao nani atakuwa salama huko barabarani?