sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
Umenikumbushia his clip.
u know what, u are funny, u r so funny, just like that guy just tell everyone u r fu.ck.ing mother, if u r more funny than this guy OMG, spare my ribs pls.
Umenikumbushia his clip.
u know what, u are funny, u r so funny, just like that guy just tell everyone u r fu.ck.ing mother, if u r more funny than this guy OMG, spare my ribs pls.
Labda!Unaweza usimpende muogeleaji ukampenda mnoa visu...kisa akiwa ananoa huwa anaimba vizuri na mwangu huwa anafurahi!!!
BTW..when it comes to hobbies kila mtu ana admiration zake.,je hii ndo shobo yenyewe??????
Husninyo,hhhhhhhhaaaaa!!!! ila wanaume wengi wakishakuwa na magari basi wanaona ndio wanapendwaaaa!!! ila sio kosa lao. ujue magari ya kuyakuta ukubwani na ndio shida ila wapo watu wanaona ni sehemu ya hitaji la binadamu la kawaida kabisa. mi nakupenda tu vile ulivyo!!! lol.
Husninyo,
Kwetu bado watu wengi wanachukulia gari kama luxury. Hata mwanzoni simu za mkononi zilikuwa ni luxury.
Kwa wenzetu gari ni necessity. Mtu unaomba kazi, unaambiwa you must own a car and have a clean driving license.
Hata hivyo, sidhani kama kweli wanawake wengi wanapenda wanaume wenye magari for the sake of the car.
Nadhani baadhi ya wanawake wengi wanaangalia mbele zaidi ya gari. Kwa sababu gari bado ni luxury kwenye jamii yetu basi linatumika kama indicator kuonyesha kama mwanaume anazo.
Ni rahisi kwa mwanamke kujua kama mwanaume fulani ana gari kuliko kama ana nyumba, elimu au kazi nzuri.
Kwa hiyo hapo tunarudi square one kuwa wanawake wengi wanaangalia zaidi security aliyonayo mwanaume katika ku-rear healthy offspring.
Kama mwanaume hana gari bongo, then kwa baadhi ya wanawake, kuna uwezekano mkubwa hana security ya kutosha.
Kwa nchi zilizoendelea ambako gari ni necessity, kujua kama mwanaume ni financially secure to rear healthy offspring, suala siyo tena kuwa au kutokuwa na gari, bali what sort of car a man drives.
As for men, it is often the woman's beauty which will influence most of them to pin her down.
Oh and don't get offended na jina la bodaboda yangu. It was supposed to be a joke.
Umenikumbushia his clip.
[video=youtube_share;E84VqqCPI7w]http://youtu.be/E84VqqCPI7w[/video]
u know what, one day I will trap you with a glass of wine mixed with amarula no wonder dreads zako zote zitakatika heheheheee ntachekaje with ur new look face.
u know what, u are funny, u r so funny, just like that guy just tell everyone u r fu.ck.ing mother, if u r more funny than this guy OMG, spare my ribs pls.
I wish you knew the meaning of EMT.
Now go to bed please.
Kiuno chako kimeshakosa network na miguu kwa kucheka too much.
Now you're complaining to spare your ribs.
Seriously, I can't image what will be your next complaint.
So, tafadhali nenda kalale fasta. Tena fasta sana.
Makes sure you secure all entries to avoid any unauthorised access by unauthorised people.
Ulinzi leo siyo tight maana Green Guads, Blue Guards na Red Brigade wamechoka sana as walikuwa kwenye uchaguzi A. Town.
Goodnight.
kakajambazi u made my day.....
We umeweza kulinunua haina shida, wale ambao hawaoti wala kuwa na bajaj ndo wanaongelewa,ht lenye no za ubalozi wao hawajali ilimradi gari
Gari ulinunua mwenyewe au ulipewa na bwana mwenye gari? Fafanua pls sio kuleta maneno ya kwenye kanga hapa.
hahahha haya maneno ya wanaume wa vijiweni,sasa kama nina biashara au kazi inayonilipa vizuri nishindwe kujinunulia gari, wewe ulishawahi kumnunulia gari mwanamke? vile usivyoweza na wenzio ndo hivyo hivyo, wanaume wachache sana wanahonga magari,kati 20m ni mmoja, mlio wengi ni chips tu ndo uwezo wenu,
hahahaaaa... haya ankal Kaizer, BTW miss u mingi jamani si ukuje tena????
I will be back charminglady wala usijali....
Hayo maneno hapo juuuuuu...............
hahahaha marrykate mambo? apo bold, ukiona ivo ujue ndicho kinachokubalika, kwamba mlio wengi wa aina yako chips tu zinatosha mtu unagegeda kama kawaida, sasa gari la nini? bora wajanja kama wee unajinunulia zako gari mwenyewe kwa raha zako sio kusubiri mwanaume...sasa apo sijajua mgegedo chips zitahusu au niaje
Hii asiiione kabisa mwalimu wangu snowhite na Madame B, na hata sakapal Kongosho King'asti au Kaunga wakiiona patachimbika,...
CC Mtambuzi