Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Hivi gari kitu gani bana.... mbona mnatokwa povu???? Siku hizi magari mbona kawaida tu.... Au mnadhani wanawake wote wenye magari wamenunuliwa poor you!!!!!
Kwani imeandikwa wapi wanaume pekeyao ndio wanapaswa kumiliki magari????
Khaaaa.... mtuwache tupumuweee miaka 900 .... Sosi cacico
Sasa hapo aliyetoka povu nani kati ya mimi na wewe? Nadhani umenierewa!
Last edited by a moderator: