Wanawake na magari

Wanawake na magari

hahahha haya maneno ya wanaume wa vijiweni,sasa kama nina biashara au kazi inayonilipa vizuri nishindwe kujinunulia gari, wewe ulishawahi kumnunulia gari mwanamke? vile usivyoweza na wenzio ndo hivyo hivyo, wanaume wachache sana wanahonga magari,kati 20m ni mmoja, mlio wengi ni chips tu ndo uwezo wenu,

ukweli unauma eeh? pole.
 
Hivi gari kitu gani bana.... mbona mnatokwa povu???? Siku hizi magari mbona kawaida tu.... Au mnadhani wanawake wote wenye magari wamenunuliwa poor you!!!!!

Kwani imeandikwa wapi wanaume pekeyao ndio wanapaswa kumiliki magari????

Khaaaa.... mtuwache tupumuweee miaka 900 .... Sosi cacico

Sasa hapa aliyetokwa povu nani? mimi au wewe? tafakari, chukua hatua! najua ukweli unauma ila habari ndo iyoooo!
 
pole mwenyewe mwenye mawazo mafupi kama mkia wa mbuzi, unadhani wenye hela ni wanaume tu?
 
Back
Top Bottom