Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
Bonge ya burudani ya jumamosi hakika siku yangu imekuwa nzuri kwa kucheka
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?
Nawashangaa... mpk wale ambao walikuwa hawakusalimii ila ukiwa na gari salamu lazima.... Haloooooooo!!!!!!
Sio salamu tu mamy na kujipendekeza kwa sana me nawashangaa hapa kila siku wanawake na gari na gar.
Ngoja niwape mchapo nilikuwa naishi mji flan,i gari ya kwanza kununua ilikuwa ni toleo jipya kwa hiyo katika ule mji me nilikuwa mtu wa pili kununua,sasa yule wa kwanza alikuwa mkaka ambaye ofice zilikuwa karibu alinitafuta hadi kunipata kisa tu alitaka kujua mdada mwenye hii gari?huko si ndo kushobokea?
miwatu wazima wenye pesa zao walikuwa wanaizungumzia gari yangu kwa hiyo msituchoshe hapa hata nyie mnashoboke magari ya wanawake tena kwa maneno ya wivu
Mwanamke na gari ni sawa na mwanamke kumwona mwanamume anatoa bulungutu la hela dukani kulipa, akili inachanganyikiwa akiziona tu . We tupa ndoana utanasa samaki tu! Sijui kwa nini wanakuwa na kiwewe na magari!
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?
Sio salamu tu mamy na kujipendekeza kwa sana me nawashangaa hapa kila siku wanawake na gari na gar.
Ngoja niwape mchapo nilikuwa naishi mji flan,i gari ya kwanza kununua ilikuwa ni toleo jipya kwa hiyo katika ule mji me nilikuwa mtu wa pili kununua,sasa yule wa kwanza alikuwa mkaka ambaye ofice zilikuwa karibu alinitafuta hadi kunipata kisa tu alitaka kujua mdada mwenye hii gari?huko si ndo kushobokea?
miwatu wazima wenye pesa zao walikuwa wanaizungumzia gari yangu kwa hiyo msituchoshe hapa hata nyie mnashoboke magari ya wanawake tena kwa maneno ya wivu
Nyie wenyewe mnatamani wanawake wenye magari
Tushachoka na hizi mada.... WANAWAKE + MAGARI... Mbona gari kitu cha kawaida tu???
Mtambuzi njoo unisaidie!!
Gari ulinunua mwenyewe au ulipewa na bwana mwenye gari? Fafanua pls sio kuleta maneno ya kwenye kanga hapa.