Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Acha kuwaambia ili niwachungulie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu umeipitia vyema hilo neno la mwisho,na ukajiridhisha kuwa ndo ulichokusudia kuandika hicho?[emoji2]
Mkuu nimejaribu tuu lugha ya mtume, ni neno linaloashiria katazo la juu kabisa kwa kitu fulani. Jamaa amedinda kanisani hyo sio sahihi.
 
Abdala kichwa wazi hakupata shida mkuu.Ongera ulifaidi kuona ule mfereji
 
Naona una shida kidogo. Kanisani hatuendi kupima shape za watu. Next time kaa mbele kabisa na pia uwe wa mwanzo kutoka. Hutayaona hayo makitu
 
Mwenyewe nilikaa pembeni kabisa, kwenye dirisha.

Wanaume tuna majaribu mno, halafu ana shepu nzuri sana msichana yule.
Na bila wasi wasi ulitamani hapo ni hatariiiii
 
hadith yako inatufundisha nini? maana hata sijaelewa uliona nini funguka bhana au tupia kapicha story yako itanoga sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…