Hizi tunaita fikra potofu.
Mimi napinga hii kauli yenu wanaume kusema mtavunjwa viuno.
Pia huo mimi naita ni uchoyo, ubinafsi, na kutojali kumbuka mwanamke naye ni binadamu na hisia za mwanamke huchelewa kupanda na hata kufika kileleni naye huchelewa kwa hiyo inahitajika kumuuanda mapema kisaikolojia tangu asubuhi na usiku mkafanya mapenzi kwa kuridhishana,
Kuna tabia ya wanaume ambayo wamekariri kuwa ni lazima upige bao nyingi ndio mwanamke aridhike hapana kikubwa ni maandalizi mazuri unaweza kupiga bao moja tu kwa muda mrefu na mwanamke akaridhika kabisa.
Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.