makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,343
- 3,622
Aisee nimeogopa sana Mkuu nimetumia kama mara 6 hiviSanaaa. Usipotumia hudisi yanadhuru mishipa ya dushe na hormone zako, ni kama madawa ya kulevya yanavyodhuru akili kwa kusababisha addiction/Arosto.. Kama unatumia acha mara moja
Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.
4 mins... Aisee! Si bora nisigegede tu sasa.Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena ....
kawaida bao mbili tu
tatu na kuendelea ni kwa wasio na kazi
dada kusimama kutoka posta hadi kimara ndani ya mwendokasi huwezi ila hii kitu isiyo na miguu isimame usiku kucha
nipe break dada mi ni binadamu pia
Acheni kudanganyana humu dk 40 unamuandaa mwanamke? Mm siaminiKatika vyote ulivyoandika hii ndio point, huko kwingine kote ni shudu tu.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Unasema kweli mkuu au ndio kuchangamsha jukwaa?
Acha usiendelee kujipa addiction kama mkuu alivyokushauri... Mara sita bado una nafasi ya kurekebisha usiendelee kudhurika mkuu....!!
Babes...Nimecheka sana , LoL mapenzi ni full package kuna ninavyompa misambwanda haitaweza
Af nyny acheni kupotosha watu n kauli zenu izo.... Alekwambia kuridhishana kingono ni zaid ya dk 30 ni nani? Ni upuuz uo, isue ni kuridhishana so swala la muda it doesnt matta at al....Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.
Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.
Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.
Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri
Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!
Wito kwa wanaume wenzangu
Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
Baba yasi mavumbi ya kikongo ndio nini? Isije ikawa unatumia
Makubwa haya lolMadawa flani ivi ya kishetani mama Yasi, yanazuia mwanaume asikojoe mapema, yanatoka kongo huko... Hata sitaki uyajue yan achana nayo.
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.
Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.
Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.
Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri
Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!
Wito kwa wanaume wenzangu
Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
Walooa makahaba kazi ipo