Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

kazi kwenu mlioa wanawake waliowazidi ufundi kitandani,

mi nliwaambia oa mwanamke anayewahi kuridhika kitandan,, dk 5-30 amesharidhika,,

tatizo wanaume tunataka demu mkata mauno kama feni, ukitoka hapo unakimbilia SALIMIA,

Mm nkiona demu amenizidi ujanja nasepa, sasa demu anataka bao 17,, si hatari huyo

oeni mabonge au tipwatipwa mwendo slow jam,, wanawai kuchoka,,

ila hawa vimbaumbau sijui modo hahahaha uwe fiti kalikiti oohooooooo,,, waachie vimbaumbau wenzake.

n0 r0se with0ut th0rn
 
Mama la mama, Naweza kukaa hata miaka bado nimechomeka tu kwa sababu najua kucheza na akili ila sitaki mavumbi, na mke wangu hapendi nikomae na papuchi yake hadi nimchubue, dk 5 tosha, Au nimwite ushuhudie??
usimuite bhana
 
Hawakawii vijana kukutahadharisha kihusu mkeo siku akimpata mtaalamu wa kumsindikiza kwa vionjo japo kwa dakika 15 murua.
Ongeza mkuu nakushauri,dakika nne ni chache mno,zinawafaa ndege tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Naweza kwenda hata mia mkuu sema mke anakua analia tu masaa yote hayo, ndo mana huwa akinambia bhasi naacha
 
Hata dk5 nyingi sanaa!!!tako zako mbili ya tatu unashuka huku unatetemeka unatembea mbele!mwanamke anakunywea bier zako,nyama yako ale uchukue usafiri ulipe chumba ulipe wewe bado raha umpe...big no raha mpe yule utakaemuowa hawa wengine gusa mwaga tembea!

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
Hizi tunaita fikra potofu.
Mimi napinga hii kauli yenu wanaume kusema mtavunjwa viuno.

Pia huo mimi naita ni uchoyo, ubinafsi, na kutojali kumbuka mwanamke naye ni binadamu na hisia za mwanamke huchelewa kupanda na hata kufika kileleni naye huchelewa kwa hiyo inahitajika kumuuanda mapema kisaikolojia tangu asubuhi na usiku mkafanya mapenzi kwa kuridhishana,

Kuna tabia ya wanaume ambayo wamekariri kuwa ni lazima upige bao nyingi ndio mwanamke aridhike hapana kikubwa ni maandalizi mazuri unaweza kupiga bao moja tu kwa muda mrefu na mwanamke akaridhika kabisa.

Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.
maisha yanabadilika itafikia hatua watataka kuandaliwa masaa 6,, hapo na njaa itaanza kuuma mara utapga mihayo

n0 r0se with0ut th0rn
 
Hiyo akili ya kuushurutisha ubongo inatoka kwenye organ gani ya mwili!?? Nauliza tu.
 
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.

Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.

Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.

Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli ".
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.

Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri

Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!


Wito kwa wanaume wenzangu


Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
Mkuu umedadavua vema sana nina swali dogo hivi hayo mavumbi ya kikongo yanamadhara kiafya?(PUTULUU)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom