gidlameck
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 618
- 532
Hongera mkuu kwa kuliona hilo na kuujua ukwel halisi , kiufupi kinachomfanya mtu kuridhika ni mental , na biological ukiwa na hisia na mtu za mapenz ya dhat bas akikushika unasisimka mwil mzima yaan mm mpenz wangu kabla sjamuingiza basi tayar unaweza kufulia , na sijawai skia zaid ya sifa baada ya kumaliza na naweza ku range to 10-15 min sasa hawa wanaosema hawaridhishwi its in their psychological hata ukimsugua masaa mtu huyu unajipa shida tu bureKumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.
Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.
Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.
Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri
Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunajilipua....!!
Wito kwa wanaume wenzangu
Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani, Koroma kama genereta ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha mtu....
Kwel mkuuMapenzi ya kweli hayana hata haja ya kuhesabiana dakika. Mkiwa mnapendana na kila mmoja akaondoa uchoyo kwenye tendo hakika kila mtu ataridhika, hata kama mtatumia dakika tano tu.
Factyuko sahihi wanaume tunajiharibu wenyewe... kuna demu ndani ya dk tano anakojoa mara mbili na kuna mademu wewe piga vumbi lako la kongo sugua 3hrs hamna kitu .utajimaliza nguvu tu ... una P ndogo tafuta inakofit siyo kulazimisha kuogelea kwenye mabwawa uishie kuitwa kibamia
Hahahahahaahkawaida bao mbili tu
tatu na kuendelea ni kwa wasio na kazi
dada kusimama kutoka posta hadi kimara ndani ya mwendokasi huwezi ila hii kitu isiyo na miguu isimame usiku kucha
nipe break dada mi ni binadamu pia
Uwiii mwanaume ninae jamani baba yasi kweli?
Hahahahahaha..... hasa hiyo para ya mwisho ni balaa. Ila watakuwa wamekuelewa wale wanaosimamia vidole halafu baadae ananaanza kulalamika oooo.... korodani zimekaza. oooo...... korodani zinauma na mambo mengine yanayoambatana na hayoKumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.
Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.
Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.
Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri
Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunajilipua....!!
Wito kwa wanaume wenzangu
Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani, Koroma kama genereta ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha mtu....
Hongera mkuu kwa kuliona hilo na kuujua ukwel halisi , kiufupi kinachomfanya mtu kuridhika ni mental , na biological ukiwa na hisia na mtu za mapenz ya dhat bas akikushika unasisimka mwil mzima yaan mm mpenz wangu kabla sjamuingiza basi tayar unaweza kufulia , na sijawai skia zaid ya sifa baada ya kumaliza na naweza ku range to 10-15 min sasa hawa wanaosema hawaridhishwi its in their psychological hata ukimsugua masaa mtu huyu unajipa shida tu bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda hii kwa hiyo kuanzia sasa ni mwendo wa kugonga like tu kwenye k mambo ya kusugua sana ni kuchoshana tu. Tamaa ya kutaka kumkojoza mwanamke haihawahi kumuacha mtu salama kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm namba ya mkeo nikusaidie kumfurahisha mi cyo mwanaume wa dar, nipo matombo morogoro vijijin..atafurahi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa zima mkuu ni maandalizi tu hapana kwakweli, labda maandalizi ya harusi.Hizi tunaita fikra potofu.
Mimi napinga hii kauli yenu wanaume kusema mtavunjwa viuno.
Pia huo mimi naita ni uchoyo, ubinafsi, na kutojali kumbuka mwanamke naye ni binadamu na hisia za mwanamke huchelewa kupanda na hata kufika kileleni naye huchelewa kwa hiyo inahitajika kumuuanda mapema kisaikolojia tangu asubuhi na usiku mkafanya mapenzi kwa kuridhishana,
Kuna tabia ya wanaume ambayo wamekariri kuwa ni lazima upige bao nyingi ndio mwanamke aridhike hapana kikubwa ni maandalizi mazuri unaweza kupiga bao moja tu kwa muda mrefu na mwanamke akaridhika kabisa.
Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.
Mtaongea yoote lakini kiukweli mwanaume ukitunukiwa papuchi usicheke nayo, kita mpaka ijambe lakini usitumie dawa, tumia nguvu zako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dkk tano mwanamke anapizz mara mbili[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hauko serious vingnevyo hujui mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni psychological feelings, ukimkuta mr anaringia flat screen yangu ni kwakuwa ananipenda hata akiona misambwanda roho haimshtuki
Ndio ufundi wenyewe huo.Saa zima mkuu ni maandalizi tu hapana kwakweli, labda maandalizi ya harusi.
Sent using Jamii Forums mobile app