Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Mada ni nzuri ila inabidi na inalazimika kueleweka kuwa the art of love making ina maeneo yake na hatua zake mpaka kukamilisha zoezi zima.

1. Maandalizi ya awali....haya nayo yamegawanyikakatika sehemu mbili...

A. Maandalizi ya kuamsha hisia ..hapa tunajumuisha chombeza za kimaongezi sms chats za kimahaba na hata kutumiana picha zinazohamsha hisia za kimapenzi na kumualert
mwenzio juu ya kuwa tayari kwa one big moment.

B. Maandalizi ya kuelekea tendo lenyewe..foreplays. hapa naongelea vitu kama touching and caresing each others. Yani kwa kifupi maandalizi kama kugusana kunyonyana kushikashikana na michezo kibao kabla ya dyudyu au dhakari ya jinsia mme haijaingia kwa mwenzi wako...

Ni matarajio ya wengi na hasa wenzetu jinsia ya kike kuwa stage hii ya B..ikitumika vizuri na kwa muda wa kutosha basi wengi wao huanza kupata orgasm au kufika vileleni hata kabla hujaingiza dudu..

na hapa ndipo wanawake wengi hulilia wingi wa dakika...ikiyokea hapa umapakosea...unaweza kumsugua mpaka akaota malengelwnge na asikojoe..ila ukimpatia hapa ndio unakuta dk 4 unasugua na kumaliza kesi kwa furaha pande zote.

2. Tendo lenyewe la ndoa...hapa namaanisha uingizaji wa dyudyu na utumiaji wa kifaa hiki kwa ustadi wa hali ya juu.

Hii art ni siri nzito sana na kwa wachache tuliojaaliwa kuijua basi huwa hatupati tabu kuzitumia siri hizo iwe ni timu kibamia kama mie au timu mandingo kama wewe.

Matumizi sahihi ya silaha yako na kwa wakati muafaka ndio siri kubwa hapa kwenye ufanyaji wa tendo hasa baada ya kuwa umemuandaa mwenzako.

Uchunguzi unaonyesha kuwa wenzetu hisia zao huamshwa kwa kuguswa na kutomaswa na kusikia wakati sie wanaume hisia zetu huamshwa kwa kuona....unless uwe kipofu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa .... Ila wanaume wengine sijui ndio kukomoa ama vipi mtu dk 45 yumo tu na akimaliza anataka tena na tena .... Kheeee mtatuua pia
Weweeee wa dar hawahawa amalize 45min unatania nini si ataenda zikwa kabisa huyo wengi wao ni kuboost kwa pweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutusuana kunahitaji mazowea kama unajua kuwa mwenzio dakika zake ni 5 -15 haipaswi kumpeleka 20 - 45 unaweza kumfanya akuchukie na achukie hiko kashughuli kenyewe, mtusuo mzuri ni ule unaofanyika kwa kushirikishana ikiwa bibi kashafika anahitajika aseme kuwa tayari na wewe unashusha wazungu taratibu na ikitokea mzee joto limekuzidi wazungu wakashuka haraka basi bibie aliamshe dude kwa mara ya pili hadi bibie nae awashushe warembo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha 20-45 wengi sana 5min ikizidi sana haipiti 15min kila siku wanawake wanalalamikà

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna wanaume wengine tuu wakiona paja tayari unasema labda mkianza upya atakua vzr. Akiingia tuu mara moja ya pili tayari yani nusu dakika mhhhh wa namna hii msilalamikie wanawake.
Unaona eti dk 45 jamani si kudanganyana huko duu shetani anawang'ong'a kwa uongo tuache hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo wengi hatuna sex education na ndio maana haya malalamiko hayataisha!

SEX ni tendo la kupeana furaha na kujengana kiafya.

SEX ni starehe ambayo ni hitaji kila mtu.

SEX sio vita wala sio tendo la kukomoana! Uwezi ukakaa kifuani kwa mtu usiku mzima mkitoka hapo mtoto wa watu hata kutembea anajivuta, wewe mwenyewe magoti yote yanakuuma halafu bado ukaita SEX ni tendo la starehe.

Starehe ni kufurahiana na sio kuchoshana, na baada ya starehe lazima uwe ni mwenye furaha na sio mwenye uchovu. Sasa vijana endeleeni kutumia mavumbi ya Congo hili msimamie kucha masaa matano huku mkijichosha akili na mwili.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Wakifikisha 45yrs ni midebwedo bila vumbi la congo mmmmm kwa miezi 2 mara moja ila uko nje anavyojisifu mie raundi 6 jamani!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakika NNE tu, raha sana. Ole wako ukutane na aliyekeketwa, saa nzima hasikii kitu.
 
Back
Top Bottom