Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Hayo mambo mnayoyasema huwa siyaelewi kabisa. Maana mm huwa naona hata nao la pili sijalimaliza mwanamke anakwambia nimechoka tupumzike.
 
nimeipenda point ya "KULISHANA PAPUCHI/CHUNVINI

Yote kwa yote mwanamke anapenda game ya muda mrefu kidogo 15min+ kubali au ukatae

Ila kwa wale wa UWANJA WA FISI dakika 2 nyingi sana

Nimefatilia kwa kina wanawake wanachepuka sana kwa kesi ya UNDERPORFAMANCE au kibamia

Ila pia kutembea na wanawake waliowekeza mahusiano kwenye PESA hata usugue vipi ni kazi bure

Ndio maana REAL LOVE ni mhimu kwenye sex
 
Watu wazima tuna stress

Vijana hawazingatii vyakula bora ni mwendo wa chips na kuku wa kisasa, mazoezi nayo haba

Mwanamke/mwanaume una wajua wanaume/wanawake kwa ma kumi kila mtu ukiwa nae unamlinganisha na mwingine labda atakuwa zaidi au chini ya uliotoka nao hii nayo ni shida
 
Wanaume wa Dar utawajua tu. Mi bila bao 4 za uhakika najiona sijafanya mapenzi.

Ndo mana mnagongewa sawa mademu zenu. Pigeni kazi vijana
 
Inasiktisha sana...
Ila ni kweli.. Mapenzi ni hisia... Na hisia huanzia akilini, huenda moyoni na atimae huridhika na kufurahia sex,..

Mwanamke anategemea kuridhika/kuridhishwa vipi endapo katikati ya sex badala ya kuridhishana yeye anawaza "leo asiponipa hela huyu atanikoma" anawaza kumtolea povu mwanaume baada ya kuwekeza hisia kwenye tendo...


Smart911 and mahondaw wake very day its a honey moon enjoying the good sex...


Cc: mahondaw
 
kawaida bao mbili tu
tatu na kuendelea ni kwa wasio na kazi

dada kusimama kutoka posta hadi kimara ndani ya mwendokasi huwezi ila hii kitu isiyo na miguu isimame usiku kucha

nipe break dada mi ni binadamu pia
umetisha mkuuu lol
 
Tatizo wanawake wa siku hizi wanaachia sana kuna kipindi flani nyuma nilichepuka na x wangu wa zamani nilivyomuacha kashimo nilikaacha kadogo na nilikuwa namridhisha kwelikweli sasa safari hii yaani mpaka leo najiuliza nilikutana na papuchi au handaki kweli hujafa hujaumbika anyway nilipiga hivyohivyo ila najua pale sikufanya kitu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.

Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.

Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.

Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli "?.
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.

Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri

Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunajilipua....!!


Wito kwa wanaume wenzangu


Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani, Koroma kama genereta ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha mtu....
Muda utaobaki tushghulkie maendeleo taifa changa hili (Cos Ov75% of Tzanian =young)
 
Tatizo wanawake wa siku hizi wanaachia sana kuna kipindi flani nyuma nilichepuka na x wangu wa zamani nilivyomuacha kashimo nilikaacha kadogo na nilikuwa namridhisha kwelikweli sasa safari hii yaani mpaka leo najiuliza nilikutana na papuchi au handaki kweli hujafa hujaumbika anyway nilipiga hivyohivyo ila najua pale sikufanya kitu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Una madharau sana mkuu. Vibaya hivyo kbsa japo hakusomi hapa

Jesus is my saviour and a friend
 
Piga konyagi na red bull then piga game itakuchukua km one hour unasugua tu wareno bapo mpaka utahisi harufu ya nyama kuungua na moshi utafuka coz coefficient of friction approaching to infinity

Mwambenzere
Ha ha ha ha ha, mkuu umetisha sana.
 
Back
Top Bottom