YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
😂😂😂😂 Wacha weee!!........😊nimekuja mbiombio nikajua umenitaja, kumbe unazidi kunikatisha tamaa😞😞, nipo kwa bedi ngoja nilale tu, siku imeisha vibaya hii........
😂😂😂😂 Wacha weee!!........😊nimekuja mbiombio nikajua umenitaja, kumbe unazidi kunikatisha tamaa😞😞, nipo kwa bedi ngoja nilale tu, siku imeisha vibaya hii........
Nikulindie nini wifi? 😂😂😂😅😅😅 weyeee hata ukiogelea siku hiyoo.. nilindie maana waja hawachelewi niletea uchawi wao
ewaaa.. asijazweee maneno na waja.. 😅😅😅..Nikulindie nini wifi? 😂😂😂
Limeisha mbona utafurahi wewe broewaaa.. asijazweee maneno na waja.. 😅😅😅..
nakuaminia 😊😊😊Limeisha mbona utafurahi wewe bro
Kusema kweli hapanaTuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri.
Naombeni mushuke
Nimeshafatwa pm na vitiaho vizuri .....dah inabid nilog out😅😅😅 sina mke humu.. ila jiandae kuletewa file zito sana.. ila hakuna atae jitokeza hapa kuni claim mie ni wake.. watahakikisha sikuvutiii.. huko najua wameisha kaa vikao.. kuja kunichafua
🤣Hujanijibu kitu sasa kipenzi huyo dada mnamahusiano naye ??
Bwana wa namna hiyo wakuitwa" baby sandakarawe"😁😁😁Hivi huwa wanakutana kweli? Mimi najua utani tu!! Basi kazi ipo ndio hao wanaletwa baadae wamepasiana mpira?
Bwana mmoja anatembea na marafiki wote?
Mleta Uzi ni free soul,anajiongeleaga tu ukweli ,ila watu wanajifanya sio Kweli kumbe kila mtu ana bby wake anayemtamani😅👍👍🤣🤣🤣Ni maono yake na huenda ameona tunavutiana kiukweli kweli humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaa mlongo.Huyo asikupe tabu sweetheart ni jirani yangu huko Songea, Nyumbi hii bombi hii[emoji16]