Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Siamini macho yangu warahi... mkuu mwaka wangu huu 😊😊😊.. sema hii kama nimetangaziwa vita mkuu.. PM huko lazima nikachafuliwe sana, wahakikishe nalala njaaa.. maombi yako tu Bro.. nivuke hapa
Nani akuchafue bwana, watanganyika wenyewe hawa wengi shida tupu. Wewe unajali kwani, ???
Mtoto kasema anavutiwa na wewe bwana, tena totoz nyingi zinasema zinavutiwa na wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom