Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Kile cha mbali,kisicho rasmiHiki kitambi cha kufutia simu kinakuwaje jamani?
Kile cha mbali,kisicho rasmiHiki kitambi cha kufutia simu kinakuwaje jamani?
Hahaha mito chake cha mtepeto, afu umkute weekend sasa kapiga tshirt inambana na pensi lake teh teh tehInategemea na kitambi Chenyewe
mito we chako ni kipi hapa?
View attachment 319706 View attachment 319707 View attachment 319708 View attachment 319709 View attachment 319710
Sio mchichumio kweli make na bia anakunywa ha ha haHahaha mito chake cha mtepeto, afu umkute weekend sasa kapiga tshirt inambana na pensi lake teh teh teh
Hahaha huyu bia hanywi eti. Ngoja nikutumie picha yake uone huo mtepetoSio mchichumio kweli make na bia anakunywa ha ha ha
hahaha ilike thisJamani mimi ni wa long distance relationship, ila bae a.k.a hubby to be ajipange tu maana kutakuwa hakuna namna.
Ni mwendo wa mapochopocho kwa kwenda mbele,napenda sana kumpikia mwanaume nimpendaye.
Hebu ntumie ka picha nione kilivyo 😛Mmh Evelyn Salt changu hapo hakipo bana, teh teh
Hehehheehehehehehehehebehrhrhrhehehehehehehehehehehe atoto njoo umchukue kaka ako khaa, utadhani ana damu ya kinshomile mweeHahaaa nikitupia pensi nasumbuliwa sana na wadada bana, ni full kuangalia ushepu wa miguu yangu, teh!!
Hahaaa si mnanichokoza wenyewe na Evelyn Salt wakoHehehheehehehehehehehebehrhrhrhehehehehehehehehehehe atoto njoo umchukue kaka ako khaa, utadhani ana damu ya kinshomile mwee
Thanks sijui uzee unanijia vibaya leo ndo nafahamu kumbe kuna vitambi vya kualikwa na visivyo rasmi shukran ndugu kunijuza.Kile cha mbali,kisicho rasmi
Hahaha Hahahahah leo umelishwa nini kwani? Sio kwa kujisifia huko, hatuwezi kukupm bana coz tunajua wewe ni hubby material uliyetukuka teh teh. Afu nimekumbuka ulisema umerithi sura ya mama ako hehehehehheehhHahaaa si mnanichokoza wenyewe na Evelyn Salt wako
Ila natania bana, sitaki kujaziwa inbox maombi ya kuzaaa na mtu, utasikia mtoto nitamtumza mwenyewee wala usihofu we nirutubishe tu baaasi unarudi kwa mkeo, ahaaaaa akyanani dunia ina mambo, looh!! kirahisi rahisi hivyo kweli??!!!
Sasa kipi kina nafuu hapo?je na wenye kwashakoo nao ni category gani?Sio mchichumio kweli make na bia anakunywa ha ha ha
Hahaha Hahahahah leo umelishwa nini kwani? Sio kwa kujisifia huko, hatuwezi kukupm bana coz tunajua wewe ni hubby material uliyetukuka teh teh. Afu nimekumbuka ulisema umerithi sura ya mama ako hehehehehheehh
Yaani hawa watu ni shida mkuu, me sometimes siwaelewi kabisa wanataka niniTukiwa vimbaumbau(fidodido)mtasema bwana gani hajai hata mkononi tukiwa mabonge wengine bonge la bwana mara wengine manyama uzembe jamani punguzeni kukaangiza mapochopocho.Tukiamua wenyewe kuji balance mara ooh siku hizi hili sana unakula wapi?na mdomo unavyutwa mpaka jirani kabisa na sikio ooh.