Wanawake mnatulisha wenyewe alafu mnatuchamba tena!

W.end hii jamani mnanifanya najing'ataaaa!! Kaka mito hugu gutambi kama wifi hautaki we anza tu process walaa usitafute visingizio, kwani unashikiwa mtutu ukila?
Teh nimetoka kutoa taarifa police kuwa atoto mpenda hela Kaboom amepotea leo siku ya 3. Mara ya mwisho alionekana na wigi lake la blue lisilofata direction ya kichwa

Kaka ako mito ana mbwembwe jamani, mbona hukunambia kama ana damu ya kinshomile khaaa
 
Huyu kaka yangu mie mwenyewe nilitafuta pa kumgawa nikakosa so mvumilie tu.
 
Hahahaaaa! Na kwa kufukia yule ni janga, anajijua anakula km kiwavi so kaanza kujistukia mapemaaa, maana tumbo linasogea tu, ooh poor mito.
Hahhaa hii weekend utamkuta busy na kaptura lake na tshirt limebanaaa ( atakuja kujisifia mguu wake hihihi)
 
Mguu pekee ndio ulobaki wa kujisifia nao maana tumbo lishamkataa, now limeanza kuning'inia km nyonyo, yaani sijui tumfanyishe mazoezi ya lazima na kula kula marufuku, ni mwendo wa michemsho tu na tunampimia kwenye kibakuli kidogo.
 
Hahhahaha atajuta kuwa na madada wenye gubu kama sisi, tunaingilia hadi majukumu ya wifi teh teh. Atajisifia na sura yake uwiiiii
 
Sura yenyewe ishavimba km mwafulani hivyo asidanganye nayo watu, nakuambia umebaki mguu tu!! Yaani lets do the needfull tumnusuru ndugu yetu na hili janga, maana aibu yake ni aibu yetu sote, wifi mwenyewe atatushukuru maana akimuangalia anajisikia kulia ila ndio hawezi kumwambia.
 
Basi tutafanya mambo kimya kimya, atashangaa tu anashindia matunda na maji hakuna mapochopocho wala makulaji, diet tuuuuuu, teh atanunaje
 
Back
Top Bottom