Hahaha you wish Eeeh, no commentSafi sana dady
Douta anaficha ficha kumbe jamaa wake naye ana gutambi
Teh teh..Sio kikubwa sana lakiniSafi sana dady
Douta anaficha ficha kumbe jamaa wake naye ana gutambi
ila kuna vingine vina shape mbaya mmhMmh haya bwana kwa raha zako......ila usiungane na wenzako kuchamba vitambi vyetu, teh
Teh mie tena, wewe deka tu kwa raha zako bana daahHahaaa jifanye tu mjanja leo
Ooh yes! Ila sio ajiachie sasaCha kufatia simu, na kudekea kidogo
Kwenye 6 kwa 6
Kwa kweli wivu sina, ila karoho kameniuma. Ila you deserve hayo madeko bana, sio kwa huo u- hubby material.Acha nile maisha mie bana, ahaaaa hadi umeshikwa wifu navohudumiwa
wengine tunavitambi automatikali na hata ukitunyima na kutubania chakula bado miili yetu inaonekana tu. Nina piga mazoezi mpaka nauonea huruma mwili wangu lakini nashangaa sipungui hata kidogo.. Unaweza kunisaidia dawa yake miss chaggakipo mkuu sema siyo kikubwa kidog dogo nikimuacha ajiachie ataharibika
Mwanaume mwenye zigo la tambi hapana aise. Bora kile cha mbali cha kufutia simu....
aisee! Kumbe kuna vitambi mpaka vya kufutia simu? Hakika nimeshangaaMwanaume mwenye zigo la tambi hapana aise. Bora kile cha mbali cha kufutia simu....
Ha haaa ndio ujue sasa!aisee! Kumbe kuna vitambi mpaka vya kufutia simu? Hakika nimeshangaa
Kwaio ukisha mwotesha jitambi utamwacha?Mwanaume mwenye zigo la tambi hapana aise. Bora kile cha mbali cha kufutia simu....
Hahaha kwa raha zako bana, jishebedue tu mwaya. Kupendwa rahaaaaMmh haya bana we nisifie tu bure bure hapa, mi bichwa hilooooo
Sasa mi nitamuoteshaje tena jamani!Kwaio ukisha mwotesha jitambi utamwacha?