Wanawake mnatulisha wenyewe alafu mnatuchamba tena!

Wanawake mnatulisha wenyewe alafu mnatuchamba tena!

Mwanaume kua n dambi sio poa unatakiwa uwe n mwili wa wastani......kikiwa kikubwa kinaongeza gharama n matatizo
 

Attachments

  • 1454355222696.jpg
    1454355222696.jpg
    53.3 KB · Views: 20
Mwanaume kua n dambi sio poa unatakiwa uwe n mwili wa wastani......kikiwa kikubwa kinaongeza gharama n matatizo
Yaani nimecheka huo ujumbe hapo juu eti "dont make him pregnant" na bahati mbaya hawajifungui[emoji134]
 
Kupakuliwa na kula sana sio sababu za kupata kitambi...kupata kitambi simply inamaanisha wewe ni mzembe wa kufanya mazoezi..
 
Back
Top Bottom