Wanawake mnatulisha wenyewe alafu mnatuchamba tena!

Kwanza hongera kwa kudekezwa cc Asprin
Kuhusu kitambi chako mkeo anakipenda au hakipendi? Make huyo ndo muhimu mavuvuzela wa mitandaoni tuache kama tulivo
Tatizo malalamiko mengi underperformance mara sijui ukivaa hivi hupendezi coz kijifriza mara vile waqt wenyewe ndo mnatuwekea ngoma paka haruki .Hakuna seat level kitu lumbesa unategemea nini?
 
Hahaha sijaamini kama nimepigwa grand warning kuchangia huu uzi, sawa najifunza tu leo na gutambi gwako. Daah afu kumbe ndo unadekezwa hivyo Hehehe
 
mmh huyu wangu kaanza kushindana na mimi kitambi yaani nataka nipunguze ratio ya chakula.
ila sijajua kama nitaweza furaha yangu ni kumpikia kumtizama anakula huku anasifia na kunipa chombo kikiwa kimekwisha chakula.
 
Hahaaaa si namimi namtuza mamsapu so acha anihudumie, loh

Afu gutambi kaguleta mwenyewe......

Vipi boy wako ana mwili wa shukrani?
 
Mmh haya bwana kwa raha zako......ila usiungane na wenzako kuchamba vitambi vyetu, teh
 
Hahaaaa si namimi namtuza mamsapu so acha anihudumie, loh

Afu gutambi kaguleta mwenyewe......

Vipi boy wako ana mwili wa shukrani?
Hahaha wewe si umepanga me nisichangie tangu mwanzo, basi na mimi nafanya makusudi, sikujibu hata
 
Hahaaa sista bana, mi niliwa-exclude coz najua hampiki na kupakua pamoja daily, tena bado uko kwa daddy yako Kaboom haya mambo utayajulia wapi, teh

Ila niambie tu jamaa yako ukoje nikwambie kitu, au ni wale hata ulishe na mirija wapiiii bado mwili haurespond?
 
Nimegoma kujibu teh teh, Sitaki ushirikiano.
 
Mi swala la kitambi tulishadiscuss na wife kabla hata hatujafunga ndoa..So now halitusumbui..Hapigi kelele wala nn
 
Dada kumbe umeolewa tayari
Ndo na mimi nimeshangaa aisee, tangu jana komenti zake zina harufu ya u-Mrs tupu
Akithibitisha ni-cc nimfute kabisa kwenye list yangu ya singles bana, asinijazie space bure
 
Hahaaa sista bana, mi niliwa-exclude coz najua hampiki na kupakua pamoja daily, tena bado uko kwa daddy yako Kaboom haya mambo utayajulia wapi, teh

Ila niambie tu jamaa yako ukoje nikwambie kitu, au ni wale hata ulishe na mirija wapiiii bado mwili haurespond?
Jamaa aliyemtambulisha kwangu anakijitambi kidogo..

cc Heaven Sent
 
Ndo na mimi nimeshangaa aisee, tangu jana komenti zake zina harufu ya u-Mrs tupu
Akithibitisha ni-cc nimfute kabisa kwenye list yangu ya singles bana, asinijazie space bure
Anajifanya hajaliona swali..Namsubiri ajibu
cc miss chagga
 
Back
Top Bottom