Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Naomba unitafutie atoto popote alipo, aje tu nikukabidhi mpotelee pasipojulikana. Sitaki tena ushirikiano na wewe, hiyo class yako nimeikomaaa khaaaHahaaa umeanza sasa!!.......Nilirudi nikaedit bana, ilikuwa typing error ile, teh!
Yap sitaki kuingiliana, but naona nawabania sana watu, so nataka kuanza kuuza hawasha tu kwa anayetaka, akafanye mwenyewe artificial insermination huko. Namalizia kupakia kwenye test tube then ntapeleka mzigo mwingine pale dukani kwa daddy wako Kaboom awe anauza pamoja na vifuniko vyake vya asali.