Wanawake mnatulisha wenyewe alafu mnatuchamba tena!

Basi tutafanya mambo kimya kimya, atashangaa tu anashindia matunda na maji hakuna mapochopocho wala makulaji, diet tuuuuuu, teh atanunaje
Anavyopenda kula kula yule itabidi tumfungie na savailensi kamera kabisa
 
W.end hii jamani mnanifanya najing'ataaaa!! Kaka mito hugu gutambi kama wifi hautaki we anza tu process walaa usitafute visingizio, kwani unashikiwa mtutu ukila?
Nisipomaliza ananunaaaaa, so mwambie awe ananipakulia kidogo bana, kitambi noma
 
Nyie nisemeni tu hivyo dada zangu atoto na Heaven Sent ila mgejua navowaonyea huku kitaa msingenisema kabisaaa, yaani kila mtu ana hamu ya kuona dada zangu, utasikia wewe tu uko hivi, je dada zako? khaaaa!!
Msione naanzisha biashara ya test tube, ni kwamba maombi yamezidi hadi naambiwa mi mchoyo, nawabania neema za Mwenyezi Mungu. Si ndo nikaona isiwe tabu ngoja nikaweke dukani kwa Kaboom , tatizo kufika naye kanitoa baru na test tube zangu. So niko hapa nang'aaa macho tu sijui niwasaidieje sasa
 
Heheheh eh eh kufwa for me, hivi hizi genes za kinshomile umrezirithi wapi? Teh aisee waambie tu huko kitaa kwenu kuwa dada zako tumefanana na mjomba etu, wasije wakatuona wakashangaa
 
Hope unawaambia "yaani dada zangu hata viatu hawabadilishi,michogo kama sony wega, na wamefanana na babu wa bibi yake na babu,mie tu nilibahatika kufanana na mama"
 
Kweli watu wasije zimia kwa suprise wakiwasubiri dada zake nshomile tukaumbuka.
 
Hope unawaambia "yaani dada zangu hata viatu hawabadilishi,michogo kama sony wega, na wamefanana na babu wa bibi yake na babu,mie tu nilibahatika kufanana na mama"
Hahaaaaaa weeeee navowapaliliaaa!! hadi wananiomba picha zenu, sema nawajimaga
 
Khaaa huyo alokuficha mwambie akazane. Huyu kaka ako anataka tu kutuua kisaikolojia, kisa cha kuwa rejected
Hahahaaaa! Si baba yako huyo, kijacho ana alage na simu kabisa, nikiishika inaniunguza, anataka tuwe talk of tge town, atumiminie misifaaaa alafu tuje kuumbuka!
 
Afu hata hatunukii
Na mawigi yetu hata tukigeuka hayafuati direction ya vichwa.
Hahaaaaaa weeeee navowapaliliaaa!! hadi wananiomba picha zenu, sema nawajimaga
We tafuta tu hata ya beyonce uwaonyeshe ila ikitokea sisi tumeonana nao tafadhali tu useme "hawa ni shangazi zangu" bora utukane kuliko kutitia aibu ya mwaka.
 
Hahahaaaa! Si baba yako huyo, kijacho ana alage na simu kabisa, nikiishika inaniunguza, anataka tuwe talk of tge town, atumiminie misifaaaa alafu tuje kuumbuka!
Hahaha kijacho ana mbwembwe
Na mawigi yetu hata tukigeuka hayafuati direction ya vichwa.

We tafuta tu hata ya beyonce uwaonyeshe ila ikitokea sisi tumeonana nao tafadhali tu useme "hawa ni shangazi zangu" bora utukane kuliko kutitia aibu ya mwaka.
Aseme tu sie shangazi zake kwa kweli
 
Back
Top Bottom