Wanawake mnataka nini hasa?

Basi kina uttoh2002 na king kong III wenye sura ngumu zilizokomaa ndo wanawezana na wanawake.
 
Dkt.Robert ameshatoa nondo zake sasa namkaribisha Carlos The Jackal aongeze yake.
 
Asieleweke kama haka kajamaa, hatujui ni ka-superman au nini
 
Mara zote Mwanamke ukimwambia ukweli anadhani ni uongo ukimwambia uongo anadhani ni ukweli,ushauri wa bure ongopa kadri unavyoweza ila usisahau tu ulimdanganya nini jana juzi na mtondogoo hiyo ndio wanaume tunazingatia
 
Kuna mmoja nilimueleza ukweli ndo akapeperuka.

Lakini huwa wanataka wanachokitafuta na huwa wanakitafuta kila siku hata wakikipata bado wanataka watakachokitafuta huko mbeleni
 
Kuna mmoja nilimueleza ukweli ndo akapeperuka.

Lakini huwa wanataka wanachokitafuta na huwa wanakitafuta kila siku hata wakikipata bado wanataka watakachokitafuta huko mbeleni
Kipi iko
 
Duh kwahiyo sijakomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…