projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
Kumekuwa na sababu nyingi za hawa dada zetu wanaouza miili yao hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, idadi hiyo ni kubwa mno ukipita uko njiani utafikili ni maandamano ya vyama vya siasa, kuna sababu nyingi zinazodaiwa na wakinadada walio wengi zinazo pelekea mpaka kufikia hatua ya kuuza miili yao kwa bei wanazozijua wao.
Sasa maisha yanavyozidi kwenda idadi hiyo imezidi kuwa kubwa zaidi kwa visingizio vya kujitafutia riziki!
Sijajua kama riziki inatafutwa kwenye kuuza mwili mimi binafsi sijazoe huo utani! Lakini pia roho ngumu walizo nazo hawa wanawake kwa kutembea na wanaume wengi kwa siku, inafikia kipindi hata wa kuwaoa sijui kama watapatikana maana hata wanafunzi wanaopata mkopo bado hushiriki katika biashara hiyo mbovu.
Mimi nafikiri ukitaka kukomesha biashara isiendelee ni kuzuia haina ya biza pamoja na muuzaji ili isiendelee kuwepo sokoni, ndio maana mimi sitaki kudili na mnunuaji nataka kudili na muuzaji maana huwezi kumzuia mnunuaji kununua kitu lakini kuna uwezekano wa kumzuia muuzaji!
Dada zetu naombeni sana tafuteni namna nyingine ya biashara sio kuuza mwili, msije kwa nguvu mimi nawasaidia kimawazo acheni.