Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Umeandika story ndefu isiyo na solutions zaidi ya kuwaasa tu.
Ungejikita katika solutions zitakazosaidia kupunguza/kuondoa tatzo la biashara hii.
mimi na wewe tunatakiwa tupige vita hii biashara na kuonyesha kabisa kuwa tunaichukia kwa kufanya hivyo idadi itapungua kwa vile idadi ya wahamasishaji itakavyo zidi kuelimisha Jamii kwa kuwa hata huu JF wapo na ujumbe wanasoma!
 
kuna jirani zangu walibomolewa nyumba yao sasa wanakaa kwa ndugu ,basi usiku kwao ni kama mchana wanatangatanga kutafuta magetto ya wanaume kwa hiyo hiii biashara ni nzuri kwao inawapa malazi
 
d35c853da8f9f1b635923735cdfd8b3e.jpg
e5bd26d9169055b5ee4aa11dc005dbe7.jpg
88dcdb12f168c92e279431bf7b74c23d.jpg
68af7b99d74ee009298064f82e560a37.jpg
6d8ece49e6bd67b3dd79f142d5f5bfbe.jpg


Kibongo bongo jitihada ni hizi
 
Hii makitu inabidi ihalalishwe ili mabinti wa mtaani waache nyodo! Unatongoza miezi miwili?! Wakati hawa viumbe hata huongei, ukimfinyia kope tu huyo kajaa! Na milango yote waweza tumia! Mfuko wako tu! Makorobo mwanza,nyegezi saut,villa park,the kiss kirumba, buguruni sewa,kimboka,kwa ziro,corner bar sinza, kisuma(sugaray) kigogo pia kuna chocho nimeiotea! Ni mpya! Totoz classic!
 
Ktk Posts Zote Ya Kwako Hii Ndiyo IMETUKUKA Mkuu Na Nimeipenda Na Kukubali. Safi Sana Hawa Watu Kamwe Wasiondolewe Kwani WANATUFARIJI Mno.



Tangu nianze kukujua, leo umenikosha kweli kweli kwa hii post yako! Ila kule kwingine siasani! Mimi na wewe mbali mbali! Kiitikadi!. Unaandikaga uharo! Siasani!.
 
Wanasema hiyo biashara ni sawa na biashara zingine kwasababu toka ilipo anzishwa biashara hiyo biashara ipo
Na wanao jiuza wapo na wanunuzi nao wapo
 
Survival of the fittest. Ur either rich or beautiful then u survive. Ur poor and ugly?, then u shud perish, says evolution. Let them survive, says evolution.
 
mimi na wewe tunatakiwa tupige vita hii biashara na kuonyesha kabisa kuwa tunaichukia kwa kufanya hivyo idadi itapungua kwa vile idadi ya wahamasishaji itakavyo zidi kuelimisha Jamii kwa kuwa hata huu JF wapo na ujumbe wanasoma!
Nakuunga mkono, isiwe kupiga vita mdomoni tu lakini sirini tunashiriki, hapana tusifanye hivyo.
 
Nakuunga mkono, isiwe kupiga vita mdomoni tu lakini sirini tunashiriki, hapana tusifanye hivyo.
mjomba hicho kikombe kinanywewa na wengi as if' ndio utalatibu wa maisha lakini tatizo Hatujui kuishi kwa kumtegemea Mungu!
 
Nakuunga mkono, isiwe kupiga vita mdomoni tu lakini sirini tunashiriki, hapana tusifanye hivyo.
Dah.. Ipigwe vita na nani? Wako changudoa aina nyingi sana walikwisha jadiliwa humu. kwa kifupi changudoa si lazima asimame barabarani kujiuza. Tena ukifanya qualitative na quantitative analysis utaona changudoa wa barabarani ana gharama ndogo sana (Buy or make decision).
Labda tujikumbushe ... 🙂


Changudoa wako aina 3

1. Changudoa huru
- Hawa ni wale wanaosimama barabarani na sehemu nyingine za starehe. Wako huru yoyote yule hupata huduma. Wengi wao ni wezi hawachelewi kukuliza wakipata fursa na hii ndiyo kazi wanayoitegemea kwenye maisha yao. Wao ni cash tu hakuna cheki wala mkopo. Hawana wivu kabisa

2. Changudoa mtandao
- Hawa hufanya kazi kwa njia ya mawasiliano ya simu na mitandao ya kijamii. Wengi wao ni wastaarabu na wengine huwa na kazi nyingine.
Anaweza kuwa na wateja wake 15 hivi ambao anajua jinsi ya kuwapanga na anaweza kutoa mkopo. Pia wana wivu kidogo.

3. Changudoa siri
- Hawa ni wapenzi/wachumba/wake za watu
Malipo yao si ya moja kwa moja yaweza kuwa lunch, lift, mafuta ya gari, cheo au upendeleo kazini na mizinga ya hapa na pale. Huwa na wateja 2 - 3 mara nyingi huwa ni workmates au classmates au jirani yake. Biashara yake hufanya saa za kazi hivyo ni vigumu kujua. Wana wivu sana


 
Biashara hii ni kimbilio la wanyonge,iweje waacha walaji wataenda wapi?tanzania sio kisiwa biashara ipo duniani kote,kinachotakiwa waboreshewe mazingira wasiifanye nje nje kama ilivyo sasa ili kutowaathiri ambao hawapendezewi nayo.
Kumekuwa na sababu nyingi za hawa dada zetu wanaouza miili yao hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, idadi hiyo ni kubwa mno ukipita uko njiani utafikili ni maandamano ya vyama vya siasa, kuna sababu nyingi zinazodaiwa na wakinadada walio wengi zinazo pelekea mpaka kufikia hatua ya kuuza miili yao kwa bei wanazozijua wao.

Sasa maisha yanavyozidi kwenda idadi hiyo imezidi kuwa kubwa zaidi kwa visingizio vya kujitafutia riziki!

Sijajua kama riziki inatafutwa kwenye kuuza mwili mimi binafsi sijazoe huo utani! Lakini pia roho ngumu walizo nazo hawa wanawake kwa kutembea na wanaume wengi kwa siku, inafikia kipindi hata wa kuwaoa sijui kama watapatikana maana hata wanafunzi wanaopata mkopo bado hushiriki katika biashara hiyo mbovu.

Mimi nafikiri ukitaka kukomesha biashara isiendelee ni kuzuia haina ya biza pamoja na muuzaji ili isiendelee kuwepo sokoni, ndio maana mimi sitaki kudili na mnunuaji nataka kudili na muuzaji maana huwezi kumzuia mnunuaji kununua kitu lakini kuna uwezekano wa kumzuia muuzaji!

Dada zetu naombeni sana tafuteni namna nyingine ya biashara sio kuuza mwili, msije kwa nguvu mimi nawasaidia kimawazo acheni.

View attachment 319766
 
Back
Top Bottom