Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Hii biashara imepunguza pakubwa sana kesi za ubakaji, imesaidia ndoa nyingi sana kudumu hapa mjini, inapunguza gharama za kuudumia demu sasa ife kwa nn? Biashara hii ialalishwe kabisa ila huduma ziboreshwe
Mmh ila kuna mengine makubwa kuliko hayo tena mabaya haswa
 
Hii biashara imepunguza pakubwa sana kesi za ubakaji, imesaidia ndoa nyingi sana kudumu hapa mjini, inapunguza gharama za kuudumia demu sasa ife kwa nn? Biashara hii ialalishwe kabisa ila huduma ziboreshwe

Ktk Posts Zote Ya Kwako Hii Ndiyo IMETUKUKA Mkuu Na Nimeipenda Na Kukubali. Safi Sana Hawa Watu Kamwe Wasiondolewe Kwani WANATUFARIJI Mno.
 
Uzi mwingine wa kutaka kutuharibia viburudisho vya mioyo yetu. Yaani wanataka wanaume wooooote tuwe tunakunywa soda tu mweee, acheni hizo
 
Hii ni mojawapo ya biashara kongwe duniani kuna baadhi ya mataifa wameamua kuihalalisha kabisa na kutoza kodi huku zikitoa ruzuku za matibabu ulinzi na mambo ya kisheria
Nai mwenye kujua habari za Maria Madgalena?
 
Hii biashara imepunguza pakubwa sana kesi za ubakaji, imesaidia ndoa nyingi sana kudumu hapa mjini, inapunguza gharama za kuudumia demu sasa ife kwa nn? Biashara hii ialalishwe kabisa ila huduma ziboreshwe
khee kumbe ina wateja basi fanyeni mchakato mkatwe na VAT
 
Ktk Posts Zote Ya Kwako Hii Ndiyo IMETUKUKA Mkuu Na Nimeipenda Na Kukubali. Safi Sana Hawa Watu Kamwe Wasiondolewe Kwani WANATUFARIJI Mno.
na ujanja wako wote kumbe unanunuaga haya makitu...unaniaibisha mwanaSAUT mwenzio lol..
 
aah ulevi gani bana kujiendekeza tu..au kwa vile wanatoaga matundu yote mawili....
[emoji87] [emoji87] [emoji39] nayo ni hobby ujue halafu kwa wengine ni ugonjwa kabisa ngoma haisimami mpaka anusishwe pale
 
Kuna jamaa aliniambia ujeruman hadi euro 25 unapiga miti. Ninampango wa kupatembelea tena unaambiwa hadi dizaini ya akina masogange wako.
 
Back
Top Bottom