Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Ha ha haa jamani hata mie nitanunua napenda sana na kachumbari kapilipili kwa mbalii

Haya, wamekusikia.

Ila wateja wa hii biashara ni ngumu kuwaambia waache kununua.
 
na ujanja wako wote kumbe unanunuaga haya makitu...unaniaibisha mwanaSAUT mwenzio lol..

Kwani Ninapoenda " Kumbandua " Mwanamke Huwa Najitambulisha Kuwa Mimi Ni Mwana SAUT? Mimi " Kuwakanyaga " Kwangu Hao Kunahusiana Nini Na Kusoma Kwangu SAUT? Baba Yako Mwenyewe Napishana Nae Tu Ktk Nyumba Za Kulala Wageni Mbona Humsemi? Kwahiyo Ulitaka Niache Kulala Na Hawa MAKAHABA Nije Nilale Na Mama Yako? UKITAKA KUOGELEA BAHARI YA GENTAMYCINE KWANZA YAKUPASA UPIME KINA CHAKE UONE KAMA UTAKIWEZA!
 
Huwa napendelea kusoma Biblia haswa kitabu cha Waamuzi, Ukisoma Waamuzi 16:1 inasema Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake. Hii biashara ni ya kitambo mno kuliko sisi tunavyodhani kama ilishindikana enzi zile za torati jiwe kwa jiwe sasa hivi na hizi asasi kibao za kutetea haki za binaadami ndiyo kwanza inashamiri.
 
Kwani Ninapoenda " Kumbandua " Mwanamke Huwa Najitambulisha Kuwa Mimi Ni Mwana SAUT? Mimi " Kuwakanyaga " Kwangu Hao Kunahusiana Nini Na Kusoma Kwangu SAUT? Baba Yako Mwenyewe Napishana Nae Tu Ktk Nyumba Za Kulala Wageni Mbona Humsemi? Kwahiyo Ulitaka Niache Kulala Na Hawa MAKAHABA Nije Nilale Na Mama Yako? UKITAKA KUOGELEA BAHARI YA GENTAMYCINE KWANZA YAKUPASA UPIME KINA CHAKE UONE KAMA UTAKIWEZA!
mbona povu lingi limekutoka hivooo..yaan umeropoka hata usiyoulizwa...chaaa bahar ipi kwa mfano hayo maneno ya shombo uliyoyatoa wajiona mjanja khaa....kweli jf ina wagonjwa wa vichaa
 
mbona povu lingi limekutoka hivooo..yaan umeropoka hata usiyoulizwa...chaaa bahar ipi kwa mfano hayo maneno ya shombo uliyoyatoa wajiona mjanja khaa....kweli jf ina wagonjwa wa vichaa

Narudia Tena Kwa Msisitizo Mkuu Kuwa UKITAKA KUOGELEA BAHARI YA GENTAMYCINE KWANZA YAKUPASA UPIME KINA CHAKE UONE KAMA UTAKIWEZA. Siyo JF Tu Ndiko Kuna Ugonjwa Wa Vichaa Bali Hata Ktk KOO ZAKO Zote Mbili Mna UKICHAA TENA ULIOTUKUKA Ukiongozwa Nawe.
 
ignored!!
 
Hii biashara haiwezi kwisha kamwe.

Kuna wale wauzaji wa kimawasiliano.

Kuna wale wauzaji wanaojifanya wana shughuli/kazi zao.

Asubuhi wanatoka kama wanaenda kazini vile, kumbe zuga tu wanaranda randa mijini kusikilizia kutongozwa ukigusa tu umempata.

Makundi ya wauzaji ni mengi, ila nimeamua kuyataja hayo makundi mawili tu.

Nikiachana na hayo, wengi wauzaji wa mwili utakuta wanasumbuliwa na tamaa (kutaka mambo makubwa), uvivu uliokithiri, hawataki kujishughulisha na matokeo yake kufanya miili yao ndio kazi.

Usiniambia Uchangudoa ni kwasababu ya umasikini nakataa, Uchangudoa ni hulka
 
Sisi t
Kumekuwa na sababu nyingi za hawa dada zetu wanaouza miili yao hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, idadi hiyo ni kubwa mno ukipita uko njiani utafikili ni maandamano ya vyama vya siasa, kuna sababu nyingi zinazodaiwa na wakinadada walio wengi zinazo pelekea mpaka kufikia hatua ya kuuza miili yao kwa bei wanazozijua wao.

Sasa maisha yanavyozidi kwenda idadi hiyo imezidi kuwa kubwa zaidi kwa visingizio vya kujitafutia riziki!

Sijajua kama riziki inatafutwa kwenye kuuza mwili mimi binafsi sijazoe huo utani! Lakini pia roho ngumu walizo nazo hawa wanawake kwa kutembea na wanaume wengi kwa siku, inafikia kipindi hata wa kuwaoa sijui kama watapatikana maana hata wanafunzi wanaopata mkopo bado hushiriki katika biashara hiyo mbovu.

Mimi nafikiri ukitaka kukomesha biashara isiendelee ni kuzuia haina ya biza pamoja na muuzaji ili isiendelee kuwepo sokoni, ndio maana mimi sitaki kudili na mnunuaji nataka kudili na muuzaji maana huwezi kumzuia mnunuaji kununua kitu lakini kuna uwezekano wa kumzuia muuzaji!

Dada zetu naombeni sana tafuteni namna nyingine ya biashara sio kuuza mwili, msije kwa nguvu mimi nawasaidia kimawazo acheni.

View attachment 319766
Sisi tunaoishi huku kijijini Dada zetu huwa wanatuaga kwamba wanaenda kutafuta maisha dar ukijaribu kufatilia kama anauza haya kashata mtaani hupati jibu inabidi ukae kimya
 
Bidhaa yoyote kama kuna walaji (soko) itaendelea kuwepo sokoni lakini walaji wakikosekana itaondoka yenyewe sokoni. Walaji acheni kununua!
 
Nilitegemea kukutana na madhara au ubaya ya biashara hiyo mpaka waiache!
Hata hivyo nibiashara ambayo wameichagua wenyewe sababu ndiyo wanaiweza nawanaendana nayo
Haramu kwako halali ya mwenzako.
kweli kabisa dada rubii ni pm namba yako
 
Kuna madomo zege wengi sana aisee waache wapone

yaani kuna mtu ni domo zege kiasi kwamba hata akienda kwa wale makahaba anabaki kuwatazama tu hawezi kumwita kumwambia shida yake mpaka rafiki yangu yule wa pale kona bar rehema mwenye miwani amewajulia akiona likaka limezubaa zubaa huwa anawafuata anawaambia kaka tukatomXXXne ndio lijitu unaliona linafuata nyuma utafikiri dume wa njiwa

Kama wateja wanapatikana hii biashara itaendelea kushamiri tu!
 
Hiyo biashara ya ukahaba ni biashara kongwe zaidi duniani, imekwepo kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Rejea biblia mwanamke aliyemuosha Yesu miguu alikua akifanya biashara hiyo.
Biashara kongwe namna hiyo itachukua muda kukoma, ndy maana wenzetu nchi za magharibi waliona hilo wakaamua kuwarasimisha na kuwatoza kodi km huduma zingine.
 
Back
Top Bottom