Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Wanawake mnaojiuza, acheni hiyo biashara

Mbona hata mumeo ni mteja wao wa kudumu? Hata jioni hii naenda kujichagulia mmoja pale kona bar.
kona Bar noma sana pale.....Jana nilifanikiwa kufika kwa mara ya kwaaanza,Hahahahaaa Daah ni hataaare sanaaaaaaaa....nilifaiidi watot saaaana...yaaan hautumii nguuvu....Tena watot wanajileta wenyeeeweeeee,...yaan Daaah! Sijutii kufika kwangu jana...

Nikipata mda nitarudi teeena kwa wale watoto.....

Thank u all member wa JF waliokuwa wanaitaja Kona Bar kila siku...na najutia kucheleewa kufika...

Nilikuw wapi siku zoote!! I WONDER...
 
Msanvu pale Morogoro stand ndo mwisho wa matatizo. Sijaona kama pale
 
Msanvu pale Morogoro stand ndo mwisho wa matatizo. Sijaona kama pale
Aah mkuu; hapo stendi wanapatikan kwa waapi? Au ndo wamejianika tu nje/pembeeni mwa barabara!! Ahahaaaaa..

By the way; Watot ni wajasili sana....wanatamka maneno ambayo HATA AIBU UNAWEZA UKAONA WEWE!
 
Kama wateja wapo hii biashara haitakaa ife
Mimi binafsi nafikiri hii biashara inaweza kuliingizia pato Taifa kupitia Ushuru na Kodi kuliko hata mama ntilie na machinga. Serikali inabidi iwatengee hawa dada zetu sehemu maalum na salama (Red Light District) ili wafanye shughuli zao kihalali na kufuata kanuni na vigezo vya Kuepukana na ngono uzembe. Maana tunawaandama sana hawa kinadada wakati bado tunatumia huduma zao.
 
Kumekuwa na sababu nyingi za hawa dada zetu wanaouza miili yao hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, idadi hiyo ni kubwa mno ukipita uko njiani utafikili ni maandamano ya vyama vya siasa, kuna sababu nyingi zinazodaiwa na wakinadada walio wengi zinazo pelekea mpaka kufikia hatua ya kuuza miili yao kwa bei wanazozijua wao.

Sasa maisha yanavyozidi kwenda idadi hiyo imezidi kuwa kubwa zaidi kwa visingizio vya kujitafutia riziki!

Sijajua kama riziki inatafutwa kwenye kuuza mwili mimi binafsi sijazoe huo utani! Lakini pia roho ngumu walizo nazo hawa wanawake kwa kutembea na wanaume wengi kwa siku, inafikia kipindi hata wa kuwaoa sijui kama watapatikana maana hata wanafunzi wanaopata mkopo bado hushiriki katika biashara hiyo mbovu.

Mimi nafikiri ukitaka kukomesha biashara isiendelee ni kuzuia haina ya biza pamoja na muuzaji ili isiendelee kuwepo sokoni, ndio maana mimi sitaki kudili na mnunuaji nataka kudili na muuzaji maana huwezi kumzuia mnunuaji kununua kitu lakini kuna uwezekano wa kumzuia muuzaji!

Dada zetu naombeni sana tafuteni namna nyingine ya biashara sio kuuza mwili, msije kwa nguvu mimi nawasaidia kimawazo acheni.

View attachment 319766
Wanaume mnaonunua hii biashara achaneni nayo kwani hasara yake ni kubwa kuliko faida.
 
Hii biashara imepunguza pakubwa sana kesi za ubakaji, imesaidia ndoa nyingi sana kudumu hapa mjini, inapunguza gharama za kuudumia demu sasa ife kwa nn? Biashara hii ialalishwe kabisa ila huduma ziboreshwe
Ungeelezea na madhara yake kisha ukapima na mzani.
 
sahau kuhusu kufa kwa biashara hii....
huwezi kuishinda dhambi kwa nguvu zako binafsi kama si kwa msaada wa nguvu za Mungu wa jina la Yesu ndo kuondoa roho ya uzinifu kwa mtu awe mwanamke au mwanaume...njia sahihi ni kutubu dhambi ya uzinzi, ukahaba na kuokoka kwa dhati ndipo mtu ataacha maovu yote hayo
 
Mimi binafsi nafikiri hii biashara inaweza kuliingizia pato Taifa kupitia Ushuru na Kodi kuliko hata mama ntilie na machinga. Serikali inabidi iwatengee hawa dada zetu sehemu maalum na salama (Red Light District) ili wafanye shughuli zao kihalali na kufuata kanuni na vigezo vya Kuepukana na ngono uzembe. Maana tunawaandama sana hawa kinadada wakati bado tunatumia huduma zao.
Mmh kwa mtazamo wa mapato afya na ulinzi ni sahihi lakini kwa mtazamo wa kimaadili na kiroho hapana....tusilitafutie taifa laana na maagano changamoto tulizo nazo kwasasa zinatosha
 
Cha
Kumekuwa na sababu nyingi za hawa dada zetu wanaouza miili yao hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, idadi hiyo ni kubwa mno ukipita uko njiani utafikili ni maandamano ya vyama vya siasa, kuna sababu nyingi zinazodaiwa na wakinadada walio wengi zinazo pelekea mpaka kufikia hatua ya kuuza miili yao kwa bei wanazozijua wao.

Sasa maisha yanavyozidi kwenda idadi hiyo imezidi kuwa kubwa zaidi kwa visingizio vya kujitafutia riziki!

Sijajua kama riziki inatafutwa kwenye kuuza mwili mimi binafsi sijazoe huo utani! Lakini pia roho ngumu walizo nazo hawa wanawake kwa kutembea na wanaume wengi kwa siku, inafikia kipindi hata wa kuwaoa sijui kama watapatikana maana hata wanafunzi wanaopata mkopo bado hushiriki katika biashara hiyo mbovu.

Mimi nafikiri ukitaka kukomesha biashara isiendelee ni kuzuia haina ya biza pamoja na muuzaji ili isiendelee kuwepo sokoni, ndio maana mimi sitaki kudili na mnunuaji nataka kudili na muuzaji maana huwezi kumzuia mnunuaji kununua kitu lakini kuna uwezekano wa kumzuia muuzaji!

Dada zetu naombeni sana tafuteni namna nyingine ya biashara sio kuuza mwili, msije kwa nguvu mimi nawasaidia kimawazo acheni.

View attachment 319766
Chakufanya ni kupunguza watumiaja. Kama bidhaa haina soko inaondoka sokoni yenyewe. Supply and demand
 
Iwekewe utaratibu tuu . Maofisini i.e makazini wapo kibao. Wanaachia miili yao kisa semina au vyeo . Ni biashara nzuri , mazingira tofauti .
 
Kabisaaa!! wangekua hawapati wateja wangebadili biashara hata kukaanga mihogo wasishinde njaa
ukiwa mdau ni lazima uitete hii biashara lakini hebu jaribu kuona mbali,hata Mungu anachukia uzinzi isitoshe Magonjwa hayata kwisha kama biashara hii itakuwa inapigiwa makofi baada ya kuikemea!
 
Mleta mada @ Projectman, umekosa cha kuandika au vipi ? Hivi unaweza kusitisha au kupiga marufku watu wasifanye ngono? Kimtizamo wewe unaona hiyo ni biashara, lakini acha nikuambie hiyo sio biashara bali ni ngono. Unaona biashara kwa sababu baada ya sex mwanaume hutoa cho chote kwa mwanamke. Hii ni natural kabisa. Huwezi kufanya sex na mwanamke asiye mkeo for free , hata nafsi itakusuta. Wengine hutanguliza cho chote ambacho wenye fikra kama wewe wanaita hongo. Wengine hutoa cho chote hasa pesa baada ya sex.

kwa hiyo wanachofanya wadada na wamama unaowaita changu doa ni kuwasadia wale wanaotaka sex kwa mantiki ile ile kwamba mwanaume hawezi kupewa hiyo kitu asitoe kitu. Wakiwa barabarani wako tayari hata kukuonyesha nyeti zao kama una shida basi unapewa. Kinacho fanya watu waone ni kitu kibaya ni kwa sababu inafanyika kiuwazi wakati mambo ya sex kuanzia kutongoza hadi mwisho yanafanyika siirini. Ukiondoa hili basi utagundua hakuna ngono ya bure, hata mkeo humnunulia mavitu ili asikunyime. Chanzo sio kutaka pesa bali chanzo ni kutaka ngono na matokeo ni pesa.
No by 0.01% wapo wanao acha kwa kusoma hivi hatakama ni watu wachache!
 
Nilitegemea kukutana na madhara au ubaya ya biashara hiyo mpaka waiache!
Hata hivyo nibiashara ambayo wameichagua wenyewe sababu ndiyo wanaiweza nawanaendana nayo
Haramu kwako halali ya mwenzako.
rubi are you among them? kwani madhara hamyaoni?
 
Umeandika story ndefu isiyo na solutions zaidi ya kuwaasa tu.
Ungejikita katika solutions zitakazosaidia kupunguza/kuondoa tatzo la biashara hii.
 
Back
Top Bottom