Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

Nilikuwa nawaanalyse sana wanawake as if wao ni malaika, ila niliposhtuka kwamba hao sio malaika ni wanadamu kidogo nilianza kubadilisha akili yangu juu ya mwanamke. Ukiwekeza nguvu kumwelewa mwanamke hutoboi.
. Yes, na ubaya zaidi wanawake huwa hawakumbuki mazuri ya jana 😅😅. Ukiteleza leo anakuweka kwenye uhaini.

Of course wanawake wawekwe kwenye categories ya watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom