Kabisa nimeamini, jana ni roho wa Mungu alinitembelea tu maana alikua na msongo alikuwa anakunywa savana kama maji mwishowe alitepeta…HAKUNA MWANAMKE RAHISI KUMPATA KAMA MKE WA MTU
Siku hizi wake za watu wapigwa hadi mtungo.HAKUNA MWANAMKE RAHISI KUMPATA KAMA MKE WA MTU
Sasa hapo ungemla si ni sawa na kubaka tuKabisa nimeamini, jana ni roho wa Mungu alinitembelea tu maana alikua na msongo alikuwa anakunywa savana kama maji mwishowe alitepeta…
Nilichofanya nilimnunulia maji ya kutosha akanywa glass kadhaa pale nikampakia kwenye gari nika drive hadi getini kwake nilipohakikisha kaingia ndani nikaondoka zangu kwenda kupumzika…
Maana ningemuacha aondoke peke yake katika mazingira yale likatokea la kutokea mimi ndio mtuhumiwa wa kwanza maana tuliwasiliana…
Miaka yetu ilikuwa ngumu sana kumkuta mwanamke anarudi nyumbani baada ya mwanamme, ila sasa vijana wengi ndio wanawahi kufika nyumbani wakifuatiwa na wanawake…Siku hizi wake za watu wapigwa hadi mtungo.
Kweli zama zimebadilika sana.
Mambo ya usawa wa 50/50 yamekuja na mmomonyoko wa maadili, utandawazi na kukua kwa teknolojia ndio kumepigilia msumari wa mwisho.Miaka yetu ilikuwa ngumu sana kumkuta mwanamke anarudi nyumbani baada ya mwanamme, ila sasa vijana wengi ndio wanawahi kufika nyumbani wakifuatiwa na wanawake…
Zama za sasa uanamme umepoteza thamani yake, kikazi cha sasa hivi kimepotea…
Eeh mkuu sio kila homa ni malariaSiku hizi wake za watu wapigwa hadi mtungo.
Kweli zama zimebadilika sana.
Double- Double hii nyimbo inanikumbusha mbali miaka hiyo damu ilivyokuwa imechangamka nilikuwa napenda sana mziki wa dansi ambapo ulinikutanisha na mwanamke fulani alikuwa kanizidi umri, baadae nikaja gundua ni mke wa waziri mmoja mstaafu palichimbika bahati nzuri uncle wangu mwanajeshi akiwa na cheo kikubwa tu ndio alisimamia kidede ilikuwa niende na maji 😀😀😀Double double - nyboma
Mkuu kongole kwa jambo ulilofanya,, huenda Mungu pia alikuepusha na mengi,,maana siku hizi watu na wake zao wanapanga dili wafumanie mtu ili wapate chochote kitu, njia zao cha toilet zisiote nyasi..
Endelea na moyo huo,,isiwe hio siku peke yake
Double- Double hii nyimbo inanikumbusha mbali miaka hiyo damu ilivyokuwa imechangamka nilikuwa napenda sana mziki wa dansi ambapo ulinikutanisha na mwanamke fulani alikuwa kanizidi umri, baadae nikaja gundua ni mke wa waziri mmoja mstaafu palichimbika bahati nzuri uncle wangu mwanajeshi akiwa na cheo kikubwa tu ndio alisimamia kidede ilikuwa niende na maji
Since then niko makini sana na hawa wake za watu, ingawa kuna muda tamaa inanishinda napita nao kibishi hivyo hivyo…
Na unaumiza Ila wacha tuendelee kuishi kinafki,Ukweli mchungu