Wanawake michosho kweli jamani

Wanawake michosho kweli jamani

Kuupa muda mahusiano yenu angalau hata wiki 3 au 1 month ndipo uombe mzigo hapa demu ataona amethaminiwa na nia ya dhati ndio inapimwa hivyo hapa nazungumzia aina ya manzi ambaye mwenye maadili ndio wapo hivyo
Ninachojua nia ya dhati ni kuoa kabisa umweke ndani.

Ila kama lengo ni utelezi tu baada ya muda kila mtu na maisha yake kusubiri mwezi upite ndio uombe mzigo hizo zama zilishapitwa na wakati
 
Ofcourse hela inaongeza confidence na chachu kwenye mapenzi lakini usipende kuitumia kwa kila mwanamke kama kigezo Cha kumpata utapata mademu ambao ni slay queens mimi nimewahi kupata demu mkali hata mimi nilishangaa huyu sijawahi kutoa hata senti Moja kwa kipindi chote nilichomfatilia mpaka nimempata nilimteka kwa maneno tu na baada ya kuingia kwenye mahusiano nae nikawa nagharamia na ilikuwa ni maamuzi yangu yeye binafsi alikuwa aniombi kiivyo akiniomba ujue ana shida kweli, Alikuwa anisumbui kabisa kwenye game alikuwa ana nipa hata bila mimi kumuomba, alikuwa ananiheshimu mno, na alinipenda
Bado uko naye?
 
Wengine wanataka mabavu kidogo anapima ushupavu wako, yan mpaka kavua na mnakimbizana humo ndan kama wahindi? Huyo alitaka umshike, beba, peleka room au sofa then fanya yako labda angeanza kuashiria strong resistance kukutukana, kukurarua na makelele hapo unamuacha aondoke na block juu ila ile unatumia nguvu kidogo na yeye anakupinga ila haongei chochote wala kukung'ata huyo anataka ukuni sema vijiaibu asionekane mwepes
 
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.

Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.

Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?

Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.

Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.

Nimfanyeje huyu wadau?
Itakuwa kuna kitu hakijamvutia kwako
Hasa kama mlivuana nguo vizuri tu badae ndo akazingua itakuwa amekuta kitu ambacho kimemtisha kwenye mwili wako labda amekukuta mchafu, una msitu hujanyoa vuzi, au una harufu mbaya, una kibamia, au una guu la ng'ombe
Au pengine hujamvutia kwa ujumla akakosa hisia za kudonyolewa
 
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.

Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.

Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?

Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.

Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.

Nimfanyeje huyu wadau?
Kwa ufupi ni kwamba tayari ana mtu wake wa kumkaza ila kwako amekuja kutafuta ndoa tu. Tuliosoma Cuba tumebaini kuwa huyo anayemkaza hana mpango wa kumuoa japo demu kamuelewa jamaa, kwahiyo ameamua kuja kuitafuta ndoa kwako ili kukimbizana na Muda.
 
Kuna miili mingine ikivua nguo inachekesha sana unakuta jamaa ana umbo kama langu (kibonge mfupi) na kakitambi mwili kama kifurushi halafu kaboo kadogo kama punje ya karanga lazima demu akuogope anaishia kucheka tu na kusepa
 
Unafukuzia mbususu mwezi mzima huo ni utoto lazima manzi akudharau.

Siku ya kwanza mkianza mazungumzo unatakiwa uombe mzigo unampa siku kadhaa hatoi unapiga chini

Tatizo vijana mnapenda sana kutongoza na kubebishana mnapoteza muda na kupigwa vizinga nenda kwenye kusudi kuu utelezi.
Tamthilia za ki-Korea zinawaharibu vijana wa mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom