Wanawake michosho kweli jamani

Wanawake michosho kweli jamani

Mimi yalinishinda dogo nilimzimia sana akaanza kuniletea za kilokole eti nikimtia kwenye gari hataki hata nimpakate. Nikasema sawa kameamua kujitunza. Lakini mbona hiyo usiniguse haiendani na speed ya vibomu?!
Nikamuuliza kama unaomba omba hela basi usibane mapaja achia. Mimi siwezi kukupa hela halafu nyege zangu anaenda kutibu mwingine.
Kalijibuje 😂?
 
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.

Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.

Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?

Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.

Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.

Nimfanyeje huyu wadau?
Huyo ata ukimu oa atakunyima unyumba, picha halijaisha
 
Nahis hii kitu, na mimi ilinikuta ila unachosema ni kwel ni kutokana na aina gan ya mwanamke uliyekutana nae, mie tena alininyima ** na hapo ana mtoto kabisa kama wa miaka 4 alf na alijua kabisa nime-mind kwel kwel na nilimchana baada ya kuachana kesho yake asubuh, ila majibu niliyopata ni samahan sana, nilifanya ivyo ili nikujaribu nione ni mtu wa aina gani, toka wakati uo anaitaj tena sana kuja gheto ila nafasi iyo ndo hawez kuipata tena na tena na tena, ila angetoa ** getho pangekua pakufikia tu kwaiyo ndo bahati hazijagongana yeye alifanya maamuzi yale kwa sababu zake na kwakutarajia may be ntamuona sipo cheap saana na mimi nasimamia msimamo wangu why tulale usiku kucha na mnala unauona umesimama hautak kulala na hutaki kunipa ****…
Huyo ata ukimuoa atakusumbua
 
Achana naye.

Kama huna lengo la kumuoa mwambie kuwa Mpango wako ulikuwa Kustarehe. Hayo ya Ndoa NI nje ya malengo yako. Akikataa fuata mambo yako.
 
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.

Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.

Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?

Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.

Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.

Nimfanyeje huyu wadau?
Mmepishana malengo,mwenzio anataka ndoa wewe unataka kumuonja...
 
1684396934215.png
 
" Nikamuuliza wewe ni bikra, akanijibu hapana"

Kuna muhuni fulani tu alipewa bila masharti yoyote na akamtoboa swaaafi kabisa,, ila wewe maji yameshafuliwa, yakachafuka, una kiu unahitaji hata uyanywe hivyo hivyo lakini bado umenyimwa daah KUNA WASHIKAJI MNA BAHATI MBAYA SANA AISEE.
 
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.

Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.

Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?

Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.

Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.

Nimfanyeje huyu wadau?
block her number
 
Kumbe kuna watu wanaangalia mademu wanavua wenyewe. Sawa alivua mwenyewe ukamuacha akaenda bila kumfinya
 
1684406039972.png
 
Umekuwa mwanaume huyo anakufanyia maigizo.

Wa hivyo huwa anakukazia wewe lakini akienda kwa wengine wanakula.mpaka wanasaza.

Huyo anakudharau.
Si bure huyo Mwanamke na Watoto anao au ameshafanya Abortion za kutosha ila hapo anajishaua
 
Una bahati Sana,Nenda Katie sadaka kwenye kaburi la Babu yako,Huo ndo muujiza,angekuumiza Sana huyo Pepo,achana na onyo jingine pambana na life,vuta gari,vuta jengo zuri,andika vyote majina ya Mama yako,viva gentleman
Labda huyo binti ni HIV +ve, na hakutaka kumuua jamaa.

Kuna Mshkaji wangu alinyimwa hivyohivyo akabaki kulaumu na hasira juu, baadae binti akamwambia wazi kuwa yeye ni Muathirika na pia hapendi kutumia condom zinamchubua

Jamaa alimshukuru Mungu.
 
Hivi hayo yenu yalikuwa mapenzi au utoto?

Jifunze kusoma za nyakati happy huna demu piga chini mazima utafute mwingine
Ulimpima HIV? labda alikuwa na sababu lasivyo ni Mashauzi tu, utakuta na Mtoto anaye au watoto
 
Labda huyo binti ni HIV +ve, na hakutaka kumuua jamaa.

Kuna Mshkaji wangu alinyimwa hivyohivyo akabaki kulaumu na hasira juu, baadae binti akamwambia wazi kuwa yeye ni Muathirika na pia hapendi kutumia condom zinamchubua

Jamaa alimshukuru Mungu.
Dah sometime tusilaumu haya mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom