Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
unakimbiza hadi sebuleni?? kweli ugwadu ulikukamata![]()


hapana cheza na dude likishasikia harufu aiseeunakimbiza hadi sebuleni?? kweli ugwadu ulikukamata![]()


hapana cheza na dude likishasikia harufu aiseeKweli mkuuu ndio maana nimekaza now sitakiii kumuona kwanguUmekuwa mwanaume huyo anakufanyia maigizo.
Wa hivyo huwa anakukazia wewe lakini akienda kwa wengine wanakula.mpaka wanasaza.
Huyo anakudharau.
Sio Sana ila nimempa kiaina kidg that why nikaona huyu tutashindwana kwa hatua hii kupeana masharti kwenye papuchiKwa hiyo huo mwezi mzima alikuwa anakupiga tu vizinga bila kula mzigo?
Hapana sikumfriend zone kabisa ni demu nilieona anatakaa kuniletea utotonikuibie siri sasa alipotoka kwako ameenda kupelekewa kuni na jamaa yake....unakuwaje decent kiasi hicho mpaka mwanamke anakufriend zone adi unakuwa kama shoga yake....
Mbususu ni nyingi haina haja ya kuhangaishwa na hiyo moja na ukiangalia hauna malengo naye zaid ya utelezi na kusepaSio Sana ila nimempa kiaina kidg that why nikaona huyu tutashindwana kwa hatua hii kupeana masharti kwenye papuchi
Asantee mkuuuHivi hayo yenu yalikuwa mapenzi au utoto?
Jifunze kusoma za nyakati happy huna demu piga chini mazima utafute mwingine
Bosi demu alivua Ile tunataka kuweka mambo demu anaanza kugoma xaxa nikashangaa why ulikubali mpk hatua hii ndo akaanza niletea gizaa
Shikamoo mkuu, haya nipe location 😂Njoo Mbezi Luis mkuu. Kuna totoz zinashuka kwenye mabasi kila uchao. Ungekua unasalimia watu ningekuelekeza gesti ya buku tano.
Achana naye hakufai.Kuna demu nimeanza date nae kama mwezi mmoja Sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema Bado tupeane mda, mie nikachukulia poa tu sio mbaya ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikua tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikua changamoto ila jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumic Sana naomba nije kwako nikasema poa Leo nipo njoo..Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi mie nikasema mambo si ndio haya Sasa Cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kusex nae lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi dah nilichoka.. nilikomaa Sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani mara seating room nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali, nikamuuliza wewe ni bikra akajibu hapana xo why unakua hivyo kama saa zimaa hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpk kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza akaanza kunitolea masharti eti lazima niende kwako ili anipe pusi...so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu after that kweli akasepa usiku alipiga simu mie nilimchana live kua simtaki kuanzia jana coz nilijuaa anatakaa kutumia pusi yake kunikomoa... Ila yeye akapaniki jana amelalamika Sana ila Leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms...
Nimfanyeje huyu wadau
Nikitokea buguruni napanda gari za wapi na nishukie wapi mkuuNenda Mwananyamala mtaa wa minazini Kama sikosei. Pale Kuna totoz za buku mbili mbili. Kapige wawili Rudi home fanya Mambo yako kwa amani. Wala hutaombwa namba ya simu au hela ya vocha. Ukiona vipi chukua Sheria mkononi.
Kwanini Dem akuhangaishe? Life is too short.
Bro naachana nae kabisaa.... Coz saiv anatuma txt za kawaidaa na whatsap kama vile anajutia ila naona hanifai kabisa huyu demu coz why alitukana matusi maanake sio mtu mwemaa ata Bora nimejua mapemaAchana naye hakufai.
Msichana akianza kukutukana ni kuonyesha kuwa dawa inaanza kumuingia amekosa ile attention aliyokuwa anaitaka.
Kata mawasiliano naye.
Kata mirija yote unayotoa kwake.
Akikutumia message ya matusi usijibu, usijibizane na mwanamke we ni Mfalme.
Akikutumia message za kawaida mjibu shortcut, onyesha kuwa huhitaji papuchi.
Mwisho atajileta mwenyewe ila hata asipojileta we Anza chapter mpya, jijenge uwe Bora zaidi.