Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

Wanawake wangi wanaamini hawawezi kukataliwa na mwanaume kwa jambo lolote sasa wewe jaribu kukataa umewahi kusoma stori ya yusuf na mke wa potifa .tena wewe shukuru anachukia tu wenzako wanatangaziwa chafu na usiombe awe anawadhifa mkubwa lazima akutese .hawa wanawake mara nyingi hawapendi kweli ila homon zinawaendesha iyo ndo sababu wana uwezo mkubwa wa kuhamisha upendo mpaka chuki tena kwa muda mfupi sana hapo ndo wanasayansi wanasema woman has no feelings always she just pretending feelings
Nakuunga mkono kwenye point ya "hawaamini kuwa wanaweza kukataliwa na mwanaume wakimtaka"
Na hicho ndio chanzo cha chuki dhidi yetu. Huwa wanadhani wanaume hatuna msimamo.
 
Hivi unadhani rahisi mwanamke kuconfess hisia zake kwa mwanaume..ujue ikiwa hivyo amekuheshimu sana.ukimpiga chini ni kufuli tu linatembea hakuna namna...ukiona anachecheka na wewe ujue hakukupenda sharp.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wanawake mna mtazamo hasi juu ya wanaume. mnadhani hatuna msimamo kwamba inatakiwa tukubali tu, huku mkisahau kuwa "ugumu wenu wa kuelezea hisia zenu haulazimishi kukubaliwa"
Kila ndege hutua mti aupendao
 
Kuna demu mmoja nilionesha Nia Ila nlipogundua kanasoma form two nikarudi nyuma kwanza.

Sasa baada ya apo ataki ata kuniona yaan nkikutana naye ata njian kanajifunika uso
 
Kwani ni vita? Wanawake baadhi wana mtindo wa kulazimisha fulani mahusiano halafu unajikuta huna uo mpango halafu yeye hakati tamaa.
 
Sitosahau nilivyorogwa na mwanamke kisa nimemkataa kwa sababu za msingi kabisaa.....
Uchawi upo na nguvu za mungu zipo
 
Wanawake wangi wanaamini hawawezi kukataliwa na mwanaume kwa jambo lolote sasa wewe jaribu kukataa umewahi kusoma stori ya yusuf na mke wa potifa .tena wewe shukuru anachukia tu wenzako wanatangaziwa chafu na usiombe awe anawadhifa mkubwa lazima akutese .hawa wanawake mara nyingi hawapendi kweli ila homon zinawaendesha iyo ndo sababu wana uwezo mkubwa wa kuhamisha upendo mpaka chuki tena kwa muda mfupi sana hapo ndo wanasayansi wanasema woman has no feelings always she just pretending feelings
Nilitaka kuelekea humu...Ukimkataa anakutangaza mtaa mzima huna nguvu za kiume.

Hawa ni kuzoeana nao then unampotezea kimya kimya...ila hapo hapo kama mpo karibu may be ofisini/shughuli yoyote usitengeneze mahusiano na mwingine akafahamu/akashtuka.
 
Wewe walikuloga ebu tupe stori

Ilikuwa hiviii
Nilikutana na bidada mmoja mrembo kwa sura na umbo, alikuwa kahamia nilipokuwa naishi na tulikuwa tunaishi next door hivyo ilikuwa rahisi kuzoeana kwa story ndogo ndogo.
Baada ya muda tukawa karibu binti akatema neno,kidume nikawa mguu ndani mguu nje.

Nikaja kung'amua kuwa binti kuhamia kwake pale ni kwamba ana migogoro ya kimahusiano ya kiuchumba kabisa huko nyuma na alikuwa na mimba ya mwezi mmoja au miwili,suala ambalo aliweza kulificha kwa muda ule (haya niligundua baada ya siku moja kumsikia akiongea Mama ake kwa simu nyuma ya dirisha).

Sasa nikaona mmhh! mbona mambo mengi, kumbe akilini mwake ilikuwa aje tuwe na mimi, halafu niwe kama Mzee Platnum .

Kwa ushamba wangu nikawa namwambia haiwezekani kuwa nae, maana yeye ni mchumba wa mtu na ana mimba ya huyo mtu hata kama yeye(binti) hamtaki tena jamaa yake ni aende tu aka solve matatizo yake.

Ila nikawa nampa tuu kampani akihitaji msaada wa jambo fulani,basi buana binti alikaa, mimba ikakua na sikuwahi kumuona huyo jamaa ake,.....kumbe yeye akawa anafosi nikubaliane na lake. Nilivyoona vile nikaacha hata kumsaidia.

Nikamwambia mimi nina mtu wangu hayupo hapa ila mwaka huu tunamipango ya kufunga ndoa na hata hili suala la kukusaidia na hali yako anajua kwani huwa namuambiaga.

Yule binti mimba ilivyokuwa alihama lile eneo na akaenda kwao, akajifungua na mgogoro wao na jamaa ake ukawa unaendelea ,

kumbe muda wote huo bado akawa kachukia ile mimi kumkataa, akawa anatafuta watu wa karibu ili wawe wanampa taarifa zangu daah!kweli kuna watu wakawa wanamwambia progress zangu na wakati huo demu wangu alisharudi.

Kilichotokea, demu wangu akaugua mapepo na akawa hanitaki kabisaaaa, na mimi kuna siku niko bafuni nikaishiwa nguvu na nikaanza kuhisi nguvu za vitu kama vinanipanda kichwani nataka kupiga kelele, nilifanikiwa kujinasua kwa kupigiwa maombi, ila nilibaki na ugonjwa tumbo kila asbuhi, mgongo na kifua.

Yule demu wang akawa anapandisha mapepo na anamtaja yule dada kuwa ndie walimleta, ila nae alifanikiwa kupona kwa maombi, ila mpaka sasa hatujarudisha mahusiano.
 
Nilitaka kuelekea humu...Ukimkataa anakutangaza mtaa mzima huna nguvu za kiume.

Hawa ni kuzoeana nao then unampotezea kimya kimya...ila hapo hapo kama mpo karibu may be ofisini/shughuli yoyote usitengeneze mahusiano na mwingine akafahamu/akashtuka.
Hawa dawa yao ni hiyo ukiona anaanza kukuletea viashara vyao kama humtaki punguza mazoea kabla ajafika mbali ila ikimwacha mpaka anafikia hatua yakukuambia hapo ukikataa lazima wakuletee fyokofyoko
 
Nilitaka kuelekea humu...Ukimkataa anakutangaza mtaa mzima huna nguvu za kiume.

Hawa ni kuzoeana nao then unampotezea kimya kimya...ila hapo hapo kama mpo karibu may be ofisini/shughuli yoyote usitengeneze mahusiano na mwingine akafahamu/akashtuka.
Hawa dawa yao ni hiyo ukiona anaanza kukuletea viashara vyao kama humtaki punguza mazoea kabla ajafika mbali ila ikimwacha mpaka anafikia hatua yakukuambia hapo ukikataa lazima wakuletee fyokofyo
 
Ilikuwa hiviii
Nilikutana na bidada mmoja mrembo kwa sura na umbo, alikuwa kahamia nilipokuwa naishi na tulikuwa tunaishi next door hivyo ilikuwa rahisi kuzoeana kwa story ndogo ndogo.
Baada ya muda tukawa karibu binti akatema neno,kidume nikawa mguu ndani mguu nje.

Nikaja kung'amua kuwa binti kuhamia kwake pale ni kwamba ana migogoro ya kimahusiano ya kiuchumba kabisa huko nyuma na alikuwa na mimba ya mwezi mmoja au miwili,suala ambalo aliweza kulificha kwa muda ule (haya niligundua baada ya siku moja kumsikia akiongea Mama ake kwa simu nyuma ya dirisha).

Sasa nikaona mmhh! mbona mambo mengi, kumbe akilini mwake ilikuwa aje tuwe na mimi, halafu niwe kama Mzee Platnum
emoji23.png
.

Kwa ushamba wangu nikawa namwambia haiwezekani kuwa nae, maana yeye ni mchumba wa mtu na ana mimba ya huyo mtu hata kama yeye(binti) hamtaki tena jamaa yake ni aende tu aka solve matatizo yake.

Ila nikawa nampa tuu kampani akihitaji msaada wa jambo fulani,basi buana binti alikaa, mimba ikakua na sikuwahi kumuona huyo jamaa ake,.....kumbe yeye akawa anafosi nikubaliane na lake. Nilivyoona vile nikaacha hata kumsaidia.

Nikamwambia mimi nina mtu wangu hayupo hapa ila mwaka huu tunamipango ya kufunga ndoa na hata hili suala la kukusaidia na hali yako anajua kwani huwa namuambiaga.

Yule binti mimba ilivyokuwa alihama lile eneo na akaenda kwao, akajifungua na mgogoro wao na jamaa ake ukawa unaendelea ,

kumbe muda wote huo bado akawa kachukia ile mimi kumkataa, akawa anatafuta watu wa karibu ili wawe wanampa taarifa zangu daah!kweli kuna watu wakawa wanamwambia progress zangu na wakati huo demu wangu alisharudi.

Kilichotokea, demu wangu akaugua mapepo na akawa hanitaki kabisaaaa, na mimi kuna siku niko bafuni nikaishiwa nguvu na nikaanza kuhisi nguvu za vitu kama vinanipanda kichwani nataka kupiga kelele, nilifanikiwa kujinasua kwa kupigiwa maombi, ila nilibaki na ugonjwa tumbo kila asbuhi, mgongo na kifua.

Yule demu wang akawa anapandisha mapepo na anamtaja yule dada kuwa ndie walimleta, ila nae alifanikiwa kupona kwa maombi, ila mpaka sasa hatujarudisha mahusiano.
Pole mkuu siku nyingine usipende kuzoeana wadada ambao mmepenga nyumba moja wewe wasalimie tu.utakuja kunishukuru
 
Kumbe tupo wengi aisee.
Mi kuna uyo dem sikukumbaligi kivile nikapita kimasihara basi akaniganda balaa. Akawa anataka kila weekend awe anakuja geto, sasa daah ukiangalia akiwa anakuja kila weekend si ndoa hiyo sasa, yani nianze majukumu ya ndoa na mtu ambae hata sina mpango nae.

Basi baada ya wiki kadhaa nikaona hata kumuigizia nashindwa yani, yeye yuko kasi kinoma afu mimi nadelay tu, nikaona ni bora nimchane tu asiendelee kua na malengo makuuubwa na mimi wakati mi hata sina malengo nae. Aiseee nilitangaza vita, yaani ananichukia sio kitoto.

Nahisi wanapenda kusumbuliwa na kuchezewa afu waachwe, hata sie hatupendi kuchukiwa kwahiyo saivi ni kuoita nao tu.
 
mkuu sorry bajeti unayotumia weekend akiwepo ni sawa na ukiwa pekeyako?.mimi kipindi icho nikiwa na demu weekend pesa ilikuw inatembea vibaya mno
 
Mkuu dem akija inabidi bajeti iongezeke tofauti na ulivopanga. Ndio maana sikutaka mazoea sana, unaweza usifikie malengo yako kwa kuendekeza mbususu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom