Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

Mapenzi ni hisia. Tatizo la mademu hawajuagi hilo. Demu anaweza kukupenda lakini wewe usiwe na hisia nae kabisa. Mfano mimi sinaga hisia na mademu waongeaji saaaaana na wembamba saaaaaaana!. Napenda demu mstaarabu mwenye maneno kidogo tu. Zaidi napenda "nyama".
You are like me! Sipendi kabisa waongeaji, napenda wasioongea sana.
 
Mapenzi ni hisia. Tatizo la mademu hawajuagi hilo. Demu anaweza kukupenda lakini wewe usiwe na hisia nae kabisa. Mfano mimi sinaga hisia na mademu waongeaji saaaaana na wembamba saaaaaaana!. Napenda demu mstaarabu mwenye maneno kidogo tu. Zaidi napenda "nyama".
Hobby zetu zinafanana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom