Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

Inategemea umemkataa mda gani? Baada ya kuwa kwenye mahusiano naye tena mda mrefu tu na mkipanga malengo afu baadaye unakuja unamkataa? Hapo lazima akuchukie sana sababu umempotezea muda wake.
 
Mara ya mwisho kupigwa sound na binti ni 2017
 
Inategemea umemkataa mda gani? Baada ya kuwa kwenye mahusiano naye tena mda mrefu tu na mkipanga malengo afu baadaye unakuja unamkataa? Hapo lazima akuchukie sana sababu umempotezea muda wake.
Story nzima ipo hivi..kuna mdada mmoja nilikuwa nimezoeana nae ...sasa ikafika kipindi akanielezea hisia zake nadhani unaelewa.. Ila kiukweli sikuwa namtani kivyovyote vile kifupi sikuvutiwa nae,
Ila kwakuwa ni mwanamke nikaona sio poa ngoja tu niwe nae kumridhisha nafsi..sasa kadri siku zinavyoenda nikawa naona yeye anazidi kunipenda huku upande wangu sina feeling nae kabisa
Nikasema nimwambie tu ukweli nisimpotezee muda..
Nilimwambia peaceful tu...ilikuwa mwaka jana mwanzoni..then tukapotezana..nimekuja kukutana nae juzi sehemu nikamchangamkia kumsalimia...kilichonikuta siri yangu..ndio ikafanya nije kuwauliza huku JF..kama kumkataa mwanamke ni kosa haitakiwi nijue..maana binadam tunatofautiana uwenda nachofikiria mimi kwa wengine sio sahihi
 
Mimi nilipendwa na binti kipindi nipo primary. Wazazi wanamnunulia madaftari, vitabu, makompasi anakuja kunipatia mimi kama zawadi ananunuliwa vipya.

Hiyo kitu ilienda for years tokea nikiwa darasa la 3 hadi la saba but sikuwahi kumgusa maana niliona haijakaa sawa sababu sijamkubali kutoka moyoni.

Anyways, long story short, yule binti nimekutana nae hapa juzi kati, amechangamka, ana maisha yake na familia yake.

Ameolewa, sasa najiuliza pengine ningenza nae mimi pengine ningekuwa ni mwanzo wa kumletea maumivu ambayo yangemfanya afanye wrong choices all over....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua bhna sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha kupotezeana muda

Hili ni kosa kwa mwanamke ukimwambia kama humtaki/humpendi atakuchukia milele. Sasa sijui hawa ndugu zetu wanapenda kuchezewa

Sijui shida nini muwage waelewa tunawaepusha na mabalaa huko mbeleni
Wanakasirika kwa sababu wanajua umemuona kuwa yeye ni ng'ong'ozo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Story nzima ipo hivi..kuna mdada mmoja nilikuwa nimezoeana nae ...sasa ikafika kipindi akanielezea hisia zake nadhani unaelewa.. Ila kiukweli sikuwa namtani kivyovyote vile kifupi sikuvutiwa nae,
Ila kwakuwa ni mwanamke nikaona sio poa ngoja tu niwe nae kumridhisha nafsi..sasa kadri siku zinavyoenda nikawa naona yeye anazidi kunipenda huku upande wangu sina feeling nae kabisa
Nikasema nimwambie tu ukweli nisimpotezee muda..
Nilimwambia peaceful tu...ilikuwa mwaka jana mwanzoni..then tukapotezana..nimekuja kukutana nae juzi sehemu nikamchangamkia kumsalimia...kilichonikuta siri yangu..ndio ikafanya nije kuwauliza huku JF..kama kumkataa mwanamke ni kosa haitakiwi nijue..maana binadam tunatofautiana uwenda nachofikiria mimi kwa wengine sio sahihi
Kilikuta nini malizia story
 
Wanawake wangi wanaamini hawawezi kukataliwa na mwanaume kwa jambo lolote sasa wewe jaribu kukataa umewahi kusoma stori ya yusuf na mke wa potifa .tena wewe shukuru anachukia tu wenzako wanatangaziwa chafu na usiombe awe anawadhifa mkubwa lazima akutese .hawa wanawake mara nyingi hawapendi kweli ila homon zinawaendesha iyo ndo sababu wana uwezo mkubwa wa kuhamisha upendo mpaka chuki tena kwa muda mfupi sana hapo ndo wanasayansi wanasema woman has no feelings always she just pretending feelings
 
Aisee..nimeshangaa sana...
 
Mimi nawaambiaga kuwa nina uhuni ambao siwezi kuacha ,ninatumia backdoor, sasa kama ni muendaji achague aingie kwenye mahusiano huku akijua suala la kuombwa 0713 ni kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom