Mkuu mimi ni mwanaume labda kama umenichanganya.Molembe ungekuwa hujaoa ningekuomba unioe haki vile wanaume kama nyie adimu eti ila ndo basi tena nishawahiwa japo nahisi kama we ni ke me post nyingine unapost kama mdada kama nimekosea nisamehewe
Mkuu mimi ni mwanaume labda kama umenichanganya.Molembe ungekuwa hujaoa ningekuomba unioe haki vile wanaume kama nyie adimu eti ila ndo basi tena nishawahiwa japo nahisi kama we ni ke me post nyingine unapost kama mdada kama nimekosea nisamehewe
tumekuelewa mkabasia,umenena mema.Sijui nielezeje hapa, lakini sio siri kwa wanawake wengi miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito huwa inaambatana na maudhi mengi au mabadiliko mengi sana kwa baadhi ya wanawake.
Kuna wale kila atakacho tia mdomoni anatapika hata maji.Anaeza shinda tangu asubuhi mpaka jioni bila chochote tumboni unatapika mpaka unaskia koo linauma.Kweli nkikupigia simu uniletee maaple mawili au ubuyu ntakua nakusumbua wewe kama mwanaume.
Tuhurumieni huwa tunakua katika kipindi kigumu sana na wakati mwingine wala si kujifanyisha ni hali halisi.Kama wapo wanaoact basi wameamua tu.
Wajibika mkuu,kwakuwa upo.usingekuwepo angeyafuata mwenyewe.wa kwangu kila baada ya nusu saa ananiamsha nikamletee maji ya baridi kutoka kwenye friji...hapa nina mpango wa kuamishia friji yenyewe chumbani kabisa nisiwe napata tabu ya kwenda sebuleni
Kweli....????sio rahisi mkuu! utaitwa JOKA LA KIBISA
Mbona nanyi mnakuaga wasumbufu mnapotaka mpewe papuchi
Shemeji yangu anaamlisha aletewe udongo toka Zenji ukileta wa kigoma atakataa kama anapepo la utambuzi! asa mpaka atafutwe mtu toka Zanzibar atume mzigo[emoji12]Kuna mmoja aliambiwa akamnunulie udongo wa kula tena ni usiku wa saa 5 na mvua inanyesha yaani wao wanasema kila mimba na fujo zake nyingine ni kutemwa mate mwenye mimba dah
Sasa bila kusumbuliwa hamtoi...
The naomba nkusumbue namimi japo kidogo
Kuna movie inaitwa "Back up plan" ya JLo, umeiona? Kama ndio utapata jibu. Iwapo bado, itafute kaka....sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
Tena mkuu Yale ya gori sita saba yote kwishney kimoja tu ukitaka cha pili kama kajifungua anakwambia unamtonesha maumivu ya kajifungua akiwa bado ajajifungua analalamika kweli kuwa anaumia mwishowe unamwacha. Wadada acheni hizo aisee mtatufungia malango ya mbingu tusiione alaaah!.Nashukuru mkuu,wengine wanatoka povu tu hawajaelewa maudhui ya mada.ukishafunga ndoa inakuwa ni suicide mission,unakuwa subject to any humulation in the name of love! Mara upangiwe siku ya mgegedo! round! siku hupewi bila maelezo ya maana!. usipofunga ndoa unapewa red carpet treatment.