Hahahha[emoji23] ngoja nimpendelee four ya 32[emoji85] [emoji13]
well said mkuu! wengi inakuwa kukomoana! na kupimwa namna unavyowajibika ukitumwa chochote atakacho!wabongo wengi hupata mimba bila kukusudia matokeo yake ndo kama hayo sasa,,.some times wanakusudia kufanya hvyo wakidhani wanamkomoa mwanaume
Hahahhahha pole sana Mkuu naona kama umepa-nic hivi,..is here whr we dare to talk openly..!?? Huh,.take it easy meeen,.com on!!!![emoji6]kwakuwa umejiunga jf 2016,nakusamehe bure!. mada kwanini wasiokuwa na wanaume au wazungu hawasumbui hivyo? anzia hapo kutililika.
nashukuru kwa darasa,na uwasilishaji wa mchango wako bila matusi.ww ni mke mwema.ongaza mtoto mwingine unaweza kumlea kwa maadili yaliyotukuka.tunatakiwa tuijaze Duniakwasababu tunavyovibeba vinatusumbua hakuna mfano wake we bob luse ukipewa uishi nayo mimba masaa 24 unaweza kufa kabisa .. yaani ni hali isiyoelezeka mbaya saba haswa miez mictatu kushuka uwii sitamani kuzaa tena inakufanya uwe na hasira tu hata mtu akikuangalia watamani kumnasa makofi
kuna wanaume wenzako wanawake zao wakiwa na mimba wao ndo wanapata yale mambo ya kula udongo na kula mavi ya kuku kushindwa kuamka asubuhi hebu waulize huwa wanajiskiaje watakwambia
mpende sana mwanamke wako mjali na mvumilie haswa akiwa na mimba
karibu mkuuNashukula.miss chagga.you are one of few wise woman in jf.kuna wengine wanadhani mitusi ndio kuchangia.
i prefer people who talk sense and within the topic not who start their own topic within my topic and discuss personalities instead of focusing on issue on the table. there woman's in this topic like miss chagga,she confessed that such experience is true but there some woman who capitalize& exaggerate on pregnancy experience.Hahahhahha pole sana Mkuu naona kama umepa-nic hivi,..is here whr we dare to talk openly..!?? Huh,.take it easy meeen,.com on!!!![emoji6]
Sorry me,.BOB LUSEi prefer people who talk sense and within the topic not who start their own topic within my topic and discuss personalities instead of focusing on issue on the table. there woman's in this topic like miss chagga,she confessed that such experience is true but there some woman who capitalize& exaggerate on pregnancy experience.
Molembe ungekuwa hujaoa ningekuomba unioe haki vile wanaume kama nyie adimu eti ila ndo basi tena nishawahiwa japo nahisi kama we ni ke me post nyingine unapost kama mdada kama nimekosea nisameheweNapenda sana mke wangu akiwa na mimba hasa ule usumbufu aisee anakuamsha saa nane usiku anataka kuoga ukichelewe kurudi nyumbani anakubembeleza mpaka unarudi ukifika ana nuna aisee acha watusumbue watoto wana raha yake yaani hata kama ukiwa na stress ukiwa na watoto utacheka na stress zitaisha