Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

Mwanaume wa ukweli halalamiki Anajua ni kipindi cha mpito tu tena kifupi mno ni kama changamoto ndogondogo ambazo Anajua "how to overcome them",..

Matokeo ya 4m4 yametoka umepata division ngapi broo!?
division ngap tena? Kwa stress hiz unadhan atakua na ngap?
 
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
wabongo wengi hupata mimba bila kukusudia matokeo yake ndo kama hayo sasa,,.some times wanakusudia kufanya hvyo wakidhani wanamkomoa mwanaume
 
Napenda sana mke wangu akiwa na mimba hasa ule usumbufu aisee anakuamsha saa nane usiku anataka kuoga ukichelewe kurudi nyumbani anakubembeleza mpaka unarudi ukifika ana nuna aisee acha watusumbue watoto wana raha yake yaani hata kama ukiwa na stress ukiwa na watoto utacheka na stress zitaisha
Oooh very nice of you... Yes mtoto ni mtamu Sana.. Its a blessing from God.... Keep it up Bro.. Thanks..
 
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
ushawatia mimba wazungu wangapi ukagundua wao hawana hiyo hali unayoiita ujinga?
fanya uchunguzi ndio urudi kuongea dogo
 
Kuna baadhi ya wanawake wa kiswahili sasa sio mabadiliko ya mwili ni sifa au kukomoana, unakuta unatakiwa ulete vitu kibao visivyo vya kawaida, wengine utafikiri anaitwa usiniguse, ndio mahaba yenyewe?

Hili tatizo lipo sana kwa wanandoa na wale ambao wako kwenye mahusiano yanayotambuliwa hata kama ndoa bado (mwanaume yupo active)
Hivi mmewahi kujiuliza kwanini wazungu, au wabongo waliotelekezwa na wanaume zao,waliofiwa na wenza wao kabla ya kujifungua hawanaga swaga hizo?

Mbona kuna wanawake wengine hawasumbui hivyo?Mnaoigiza acheni hizo! mnatukondesha bure kwa wanaume wanaopenda hii hali nawapa big up, binafsi napenda 'usungu'.

Samahani lakini kwa jiwe la gizani.
Usishangae wakija kinamama hapa wakakuuliza Bob Luse "Kwa nini unasumbua ukiwa na Nye.ge" kutokana na swali lako mkuu.
 
ushawatia mimba wazungu wangapi ukagundua wao hawana hiyo hali unayoiita ujinga?
fanya uchunguzi ndio urudi kuongea dogo
nimeishi nao mkuu hawalagi udongo wa pemba wala nanasi la kiwengu Bagamoyo! wanaushinda moyo.mwanadamu huwezi shindana na mwili kuupatia kila unachotamani
 
Ukweli ni kuwa mwanamke ujiona wa thamani akiwa ndoani na uthamani huo humfanya /huwafanya kujisahau na kuanzisha swagaz zisizo na maana anaweza hata akaunyima unyumba akijua huna la kumfanya ukimuacha anajua mtagawana vitu kisha atasepa. Ndoa kwa kiasi fulani humsahaulisha mwanamke majukumu yake kama mke ndani ya Ndoa sasa swali je tusioe ili tufaidi zaidi kutoka kwa hawa wenzetu?. Hili liende kwa wadada watujibu. Mleta mada unayo point kubwa nimekuelewa vizuri sana.
 
Nashukuru mkuu,wengine wanatoka povu tu hawajaelewa maudhui ya mada.ukishafunga ndoa inakuwa ni suicide mission,unakuwa subject to any humulation in the name of love! Mara upangiwe siku ya mgegedo! round! siku hupewi bila maelezo ya maana!. usipofunga ndoa unapewa red carpet treatment.
 
BOB LUSE zahanati umekwenda nae???

1456396465045-jpg.325490
zahanati umshikie mikoba!kha
 
Mwanaume wa ukweli halalamiki Anajua ni kipindi cha mpito tu tena kifupi mno ni kama changamoto ndogondogo ambazo Anajua "how to overcome them",..

Matokeo ya 4m4 yametoka umepata division ngapi broo!?
kwakuwa umejiunga jf 2016,nakusamehe bure!. mada kwanini wasiokuwa na wanaume au wazungu hawasumbui hivyo? anzia hapo kutililika.
 
division ngap tena? Kwa stress hiz unadhan atakua na ngap?
mko wengi msioelewa mada inataka mjadili nini?! dont.divert my topic to unknown destination you people! kha
 
huu ni mjadala!.sio vita!.
unapoanza kuchangia tabasamu kwanza nao!
Hata mie sijasema ni vita,kama unaona labda wanasumbua unaachana nae kwa amani unatafuta asiyesumbua hii inakua nzuri.
 
Back
Top Bottom