Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

Kuna movie inaitwa "Back up plan" ya JLo, umeiona? Kama ndio utapata jibu. Iwapo bado, itafute kaka....
Nyengine ni "What to expect when you are expecting"
Hii kitu haina taifa...
nitaisaka.niongeze ufahamu
 
Tena mkuu Yale ya gori sita saba yote kwishney kimoja tu ukitaka cha pili kama kajifungua anakwambia unamtonesha maumivu ya kajifungua akiwa bado ajajifungua analalamika kweli kuwa anaumia mwishowe unamwacha. Wadada acheni hizo aisee mtatufungia malango ya mbingu tusiione alaaah!.
Hahahaaa,hatari huku mtu amenuuna balaaa.
 
Mwanamke akiwa na mimba anataka ale hiki kile ni usumbufu tu. Mbona hawasemi wana hamu na kazi???
mkuu watangaze 'hapa kazi' sio rahisi hormone zao hazitaki kazi.zinachagua mengineyo.
 
Kuna wengine wala sio ujauzito tu bali ni tabia ya kuzaliwa nayo.

Mfano Nyani Ngabu .
Japokuwa ameshazaa watoto 7 lkn ukorofi haachi.
Huyu binti ni mkorofi sana kila mahala.
Hii ni tabia mbovu inayotokana na malezi mabovu. Hasa ikiwa mtoto hamjui babake km Huyu Nyani ngabu.

Ahsanta.
mkuu naona unataka show down na Nyani! mimi nitafuatilia huo mnyukano.naandaa Advanced dictionary nisipitwe na neno lolote la kimombo.
 
Back
Top Bottom