Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Ndoa ikifungwa haivunjwi mkuu. Zaidi ya hapo mume ndiye anayeoa na ndiye anayetoa talaka, ok? Mke hata akienda mbele ya sheria ATAOMBA TALAKA. Haiombi mahakama bali mume wake.Ndoa inavunjwa kwa uzinzi uwe wa mke au mume, so hiyo bibilia yako ndo umesema wewe unaruhusiwa kufanya uzinzi??
Kibiblia nimeshasema ndoa ikifungwa haivunjwi kwa namna yeyote ile. Lakini si ruksa kwa yeyote kuzini. Si mke wala mume kwani watakuwa watakatifu mbele za Bwana.
