Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

acha kuwasiliana nae ,, ila kila unavyowasiliana nae lazima atakukumbusha yale mambo mazuri mliowahi kufanya pamoja hapo lazima utaruhusu arudi, na utapigwa pigo takatifu ushindwe hata kupost
 
Mkuu usiruhusu huo ujinga unatafutiwa gepu utatangulizwa kaburini unajua huko kwao mpk sasa anapewa semina gani ? Umeshajiuliza hilo ...... Je wanawake wameisha katika hiii dunia ... Hata kama mna mtoto hata huyo mtoto anaweza asiwe wako !! Mtoto asiwe kamba ya kukunyongea ..... Tafuta mwanamke mwingine sogeza ukae nae maisha yaendeleee

Mwanamke ukiona anaanza kumvulia mwanaume mwingine nguo jua huyo amevaa roho nyingine unapaswa kuwa makini sana
Jina lako baya
Ila ushauri konk Sana mkuu[emoji62][emoji62][emoji62][emoji64]
 
Kumsamehe ni lazima sababu usipofanya hivyo future yako yote inakuwa imefungwa na hiyo experience uliyopata kwenye ndoa yako....


Ila kurudiana nae sasa,nikuulize swali kati ya furaha moyo wako na ndoa yako utachagua nini?

Mi najali furaha yangu kuliko japo lolote lile,Wewe je?

Upo tyr kuwa na ndoa halafu huna furaha au kuacha ndoa halafu walau kuwa na furaha...kipi muhimu?

Binafsi nina matatizo matatu
1.i notice everything
2.i feel everything
3.i have good memory.

Kwa matatizo hayo hapo siwezi kuishi na mwanamke msaliti nitakuja kumpiga shoka nipate kesi za kijinga
 
Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.

Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Pole sana bro,imenigusa sana hiyo.
 
Back
Top Bottom