ScermierBheckie
Member
- Jan 3, 2021
- 18
- 8
kuna kitu kama mume na mwanaume hukutimiza kwake usimlaumu
Arudi kufanya nini mkuu imeisha.hiyo. tafuta mwingine oaDenic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Kama kweli wewe hujawahi kucheat msamehe alafu uachane naye lakini Kama na wewe Ni wale wanaojifanya watakatifu/wakamilifu mbele ya wakosefu msamehe urudiane nae.Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
Baadaye upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba arudi.
Nipeni hata ushauri tu nifanyeje?