Usirudi nyuma mkuu,.huyo sio mke, ameshindwa kuona hadhi na heshima ya kitanda mnacholala mpaka anaruhusu kulala na mchepuko ndani ya kitanda hicho?Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Sio kupiga shoka tu mluu, unaweza kuua mke pamoja namtoto bila kutarajia,Kumsamehe ni lazima sababu usipofanya hivyo future yako yote inakuwa imefungwa na hiyo experience uliyopata kwenye ndoa yako....
Ila kurudiana nae sasa,nikuulize swali kati ya furaha moyo wako na ndoa yako utachagua nini?
Mi najali furaha yangu kuliko japo lolote lile,Wewe je?
Upo tyr kuwa na ndoa halafu huna furaha au kuacha ndoa halafu walau kuwa na furaha...kipi muhimu?
Binafsi nina matatizo matatu
1.i notice everything
2.i feel everything
3.i have good memory.
Kwa matatizo hayo hapo siwezi kuishi na mwanamke msaliti nitakuja kumpiga shoka nipate kesi za kijinga
Hawa wanafuzi hawajui hata maana ya ndoa,Ungeendelea na chuo kwanza, haya ni makubwa sana kwako. Asante
Achana na huyo mkuu bado mwanafunzi hata sielewi amefata nini kwenye huu uzi wakati shule bado hazijafungwaMleta mada angekua kaka yako ungempa huu ushauri?
NB: Jibu kwa kutumia akili na utashi sio mihemko.
Hata ndoa ya kikristo inaruhusiwa kuvunjwa ikiwa uzinzi umebainika na vithibitisho vipoKama ni mkristo ndivo ivyo anatakiwa kufanya asamehe akae na wakubwa waongeee na mkewe wajue Kama wataendelea kwa Aman au inakuwaje,ikumbukwe ukishaoa umeoa na ukiolewa umeolewa tofauti na hapo afanye tu vyovyote ila atakuwa kinyume na biblia,Kama n Muslim cjui kwa upande huo.
du kumbe wako huyu nishawahi kumkimbiza kimya kimya huko pm!!Pole mkuu,I feel you it's very sad.. achana nae huyo ukimrudisha atakuona mbumbumbu la mwisho.. tulia jipe muda ufanye maamuzi sahihi..
Saint Anne unaona wanawake wenzako huku..? Sasa ole wako uje unifanyie hivi walahi utumbo wako ntaulost na ntalia na ugali..😅
Naona unataka kurogwa!du kumbe wako huyu nishawahi kumkimbiza kimya kimya huko pm!!
Kuoa ndo kunadhibitisha mke ana moyo wa jiwe???Aliyemwoa mwenzake nani?
Ndoa inavunjwa kwa uzinzi uwe wa mke au mume, so hiyo bibilia yako ndo umesema wewe unaruhusiwa kufanya uzinzi??Kati ya mume na mke nani kamuoa mwenzake? Mara yako ya mwisho kusoma bilblia ilikua lini?
Hata mm sikushauri umrudie maaana alikufanyia dharau kubwa sana, cha kufanya broo ili uondokane na mawazo tafta pisi nyingine o oa ili uondokane na stress maisha yaendeleeDenic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.