Alafu kitu kinaharibu sex sikuiz ni hata wakati mnafanya mwanamke na kujituma kwake kote anakuwa pia anawaza kwamba si kashakupa coochie basi after that what are you going to offer her in return, yan kama kakupa feva fulan na inakulazimu uilipe (this ruins sex big time), most of the times they act like they dont want that D....Mkishamaliza sasa ndio anaanza kukueleza matatizo yake yoote aone utamwambia lipi utaanza kumtatulia sasa hakuna kitu huwa kinamtoa mwanaume kwenye game kama hicho, MOST OF YOU HAVE BORING CONVERSATION AFTER SEX, mwanaume anaweza asiseme au asigundue ila atajitoa taratibu, ataogopa hata kukuita next time sababu anajua mkifanya mkimaliza tu matatizo yanaanza 🤣🤣🤣🤣, HII KITU IMEHARIBU RELATIONSHIP NYINGI SANA ZILIZOKUWA ZINAELEKEA KWENYE NDOA...
NDUGU MUWEGE SMART, most of you you have ruined your future relationship goal because your too stingy and uncapable of understanding situations....
Na muda mwingine siwalaumu sana sanabu they have been raised like that na hawafikirii nje ya box, sasa ni kazi ya mwanaume kumtwist mind yake taratibu, sio kazi rahis ila kama unampenda utaenda nae mdogo mdogo mpaka mtafika unapotaka mfike...
WOMEN STOP BEING PREDICTABLE, its 2020, we all know what your going to say after sex, next time be humble and creative, there is alot to say that will keep that nikker coming back to you everyday and some day if God wishes he will put a ring on it...
MIC DROP
OVA...
Sent from my iPhone using JamiiForums