Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

Walau bhas uwe unaenda ghetto kwa boyfriend wako, umpikie, umfulie na umfanyie usafi ghetto lake hata Mara mbili tu kwa mwezi, sasa wadada wengi pesa mnaomba kila mara wakati papuchi zenyewe mnatugea kwa tabu na masharti kibao, sasa kama mwanaaume lazma ujiulize ni kipi unafaidika kwenye uhusiano Demi
Nije ghetto kwa boyfriend kufanya yote hayo umetoa mahari ndugu? Kama utatekeleza wajibu wa mume nami nitafanya,ila kunipa vijicent sijui elf 20, outing, vocha...mweh..sithubutuuu.
Tatizo lenu nyie mnataka kuoa kwaajili ya kufanyiwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukisema kuwa sisi tunaoffer dudu tu huoni unakosea??..kutimiza wajibu kwa ku-take care baadhi ya expenses zenu ni kitu kingine tunacho-offer
Ni kama vile kuna kitu cha ziada mnataka tuwape, ambacho hadi sasa sijaelewa. Ina maana ukiwa na mpenzi wako zaidi ya sex hana msaada mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu.pesa.gar.kodi,nguo,menu,gari......etc etc etc

Swal kwako,mbal na k una ofa nn
Ni kama mnaona wivu na nyie mnataka kuhongwa. Wapo wanaohonga unaweza wapata. Mimi zaidi ya kumpenda mtu sina cha zaidi..mapenzi yanaambatana na vitu vingi..sio lazima iwe material things.
Na hivyo vitu ulivyovimention hapo kuna wanaume hawajawahi kutoa hata kimoja lkn bado tunawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tupendane. Tumeumbwa kutegemeana; na kila mmoja wetu ana majukumu yake kulingana na muumba wetu japo majukumu mengine tumebebeshwa na jamii. Mwanaume ndiye mlinzi, bread winner na kuhani. Mizozo mingi huwa inatokea mwanaume akianza kukwepa majukumu yake.
 
Back
Top Bottom